Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 12,104
- 16,477
Yani unipangishe kijumba chako alafu ukijisikia kuja kukagua uje uje tu?Kupanga sio kumiliki hivyo lazima kuwepo na vigezo na masharti sababu wapangaji wanatabia tofauti. Nikiweka sharti la nina mamlaka ya kukagua nyumba ninapotaka haimaanishi nitagua namana ile ile kwa kila mpangaji bali itategemea na mpangaji . Kwa nyumba zako wewe kuwaacha wapangaji waishi watakavyo ni sawa kwako, ila sio sawa kwa kila mwenye nyumba maana wengine hatuwezi kusubiri uharibifu mkubwa ufanyike eti ndio uje umbane siku ya kuhama.
Heshimu vigezo na masharti nyumba sio yako.
Hata kama ulinipa Makataba nakuromba nakwambia wallah tena