PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Naam naam naam nimerydi tena wadau
Majuzi hapa mwana jf mwenzetu Jordy05 alileta kisa chake cha jinsi iula tunda kimasihara kulivyobadili mustakabali wa maisha yake mazima / forever of course kaongelea mengi sana mule ndani ila point kubwa niliyo note ni kwamba huyu jamaa nguvu zake za kiume ndo zimemtoa kimaisha kiasi kwamba ameweza kuwachanganya wanawake wa 2 ambao ni ndugu kabisa bila kutumia hata centi 5
Si mnasemaga wanawake wanapenda high value men na wapo tiyari ku share one high value man maana ni ngumu kumpata sasa chukulia mfano wa Jordy05 hakuwa na high value yeyote ili hali alikosa hata ada ya chuo ila nguvu zake za kiume zilitosha kabisa kumpagawisha mama mtu mzima hadi kumfanya akonde alipomkosa mshkaji
Wanaume wenzangu hizi bahati za kupata wamama wazuri wenye hela kwa wanaume wengi hujaga mostly once in a lifetime yaani ni mara moja tu basi ukicheza tu umekwisha utarudi kule kule kwa mwajuma ndala ndefu imagine umepata intern sehemu au shughuli yeyote ile ya kukuingizia kipato mara ghafla paap mmama akatokea kuvutiwa na wewe we unadhani ni kipi kitamfanya akutetemekee kama sio nguvu zako za kiume??
Imagine umepata zigo kama hilo hapo juu kama haupo vizuri huko chini umekwisha unless uwe na hela ila kama bado umejitafuta huyo dem au mmama atakuacha tu tena hata kwa aibu kubwa kuwa umemchafua
Fanya juu chini uhakikishe huko chini uko vizuri hakika ukibahatika kumpata mmama mwenye hela hiyo ndo imetoka hiyo
Yangu ni hayo kwa leo tu jaribu kupambana kote kote tu huwezi jua utajiri wako uko kiunoni mwako 😁😁😁😁😁😁