Hakikisha nguvu zako za kiume ziko juu kila wakati, utanishukuru baadae

Huyo sio mke wa mmiliki wa mabasi ya kilimanjaro kweli!!

Anyway huo ndo uhalisia huyo mwanao kalamba dodo yeye shida azisahau sema tu acheze kwa step tu sasa!
Tushamwambia atumie mali alizopewa na huyo mam kuzalisha zake kimya kimya ili hata siku akizinguliwa asianguke na anafanya hvyo
 
Kweli asee hizi bahati sio za kuchezea jamaa ako akizingua hapo ndo Imeenda hivyo
 
Shauri zako
Sihofii kukimbiwa na mwanamke kisa simridhishi since I got money.

Labda, Nitahofia yeye kutaka kujaribu kufilisi mali zangu.

Shetani mwenyewe ameshaachwa tayari na ujanja wote 😆🙌
 
Attachments

  • Cut video_5935940-2582dba6cae10808475522.mp4
    1.4 MB
Nyuzi za kina Poor Brain na Intelligent businessman hizi, vijana wanaacha kusaka dolali eti anataka ndondokela ya kula tunda kimasikhara ndio atoboe.

Yaani wewe mleta uzi unatushauri tuwe active kwa mizagamuo any time?? Yaani ujiuze kwa wamama aisee hiyo kazi anaiweza Poor Brain binafsi siwezi mnyenyekea au kukata mauno ili Ke anipe pesa dadeki, unakaza vikalio ili upewe teni, abadani siwezi.
 
We Jamaa hukai manzese au tandale kweli??, maana maneno ya kiswahili haya 🤣😁
 
Nyuzi za kina Poor Brain na Intelligent businessman hizi, vijana wanaacha kusaka dolali eti anataka ndondokela ya kula tunda kimasikhara ndio atoboe.

Yaani wewe mleta uzi unatushauri tuwe active kwa mizagamuo any time?? Yaani ujiuze kwa wamama aisee hiyo kazi anaiweza Poor Brain binafsi siwezi mnyenyekea au kukata mauno ili Ke anipe pesa dadeki, unakaza vikalio ili upewe teni, abadani siwezi.
Mwandishi hajasema tukae tusifanye kazi!! Ishi maisha yako ila inapotokea fanya kweli. Anaweza asiwe mhimili wa maisha yako ila akakupush kimtindo....
 
Back
Top Bottom