Hakikisha nguvu zako za kiume ziko juu kila wakati, utanishukuru baadae

Hakikisha nguvu zako za kiume ziko juu kila wakati, utanishukuru baadae

Wanaume wenzangu hizi bahati za kupata wamama wazuri wenye hela kwa wanaume wengi hujaga mostly once in a lifetime yaani ni mara moja tu basi ukicheza tu umekwisha utarudi kule kule kwa mwajuma ndala ndefu imagine umepata intern sehemu au shughuli yeyote ile ya kukuingizia kipato mara ghafla paap mmama akatokea kuvutiwa na wewe we unadhani ni kipi kitamfanya akutetemekee kama sio nguvu zako za kiume??

Unamlisha maneno asiyoyaandika, wewe unajua maana ya kubadili maisha??
Yeye katuasa kua hicho kitu kinaweza kubadili maisha na ndio focus yake iko hapo, kaza mbupu ubadili life.
Hapo juu mwandishi kaandika imagine umepata intern au shughuli yoyote ya kukuongezea kipato mara paap akatokea mmam...
Huyo mtu hajamaanisha tukae tukisubiri wamam tujishughulishe wamama wanatokea kama bahati
 
Mawazo ya kimaskini sana.

Kukaa kusubiri upate mwanamke mwenye pesa ndio utoboe.

Ila sishangai maana kuna wanawake pia wapo wanasubiria kupata wanaume wenye pesa.

Ila naona ingekuwa vyema tungepeana mawazo ya kujitahidi kufanya kazi ingependeza zaidi.
 
Kutomb^n^ hakukuzuii kutokufocus na maisha wala hakuondoi lengo la utafutaji na Nyege hazina umri... kuna mda unabidi uenjoy mazuri ya dunia Fam
Kwa mtu mwenye miaka 25,30, 35+ ni umri wa kutulia sasa kumkaza mkeo!!

Miaka 18, 19, 24 tulitumia ngono kama pleasure, Tukawalaghai mabinti wengi, Tukabadili kila type.

Anyway watu tumetofautiana kufikiri so fanya unachodhani kwako ni sahihi.
 
Naam
 
Sijakataa mwandishi kazungumzia uwe na nguvu za kiume haijalishi utazitumia kwa mshangazi au mke wako.. kichwa cha habari kinasema "" HAKIKISHA NGUVU ZAKO ZAKIUME ZIPO JUU KILA WAKATI ""
Kuhusu matumizi utazitumia kwa nani ni maamuzi yako bro...
 
Ngono ina ladha yake lakini haifanyi liwe ni suala la msingi zaidi kwenye maisha.
 
Back
Top Bottom