Hakikisha nguvu zako za kiume ziko juu kila wakati, utanishukuru baadae

Hakikisha nguvu zako za kiume ziko juu kila wakati, utanishukuru baadae

Unaishi 1525 mkuu pole sana laiti ungejua haya mambo yapo usinge andika hayo

Basi tu unakaza hilo fuvu lako kubwa 🤣
Mambo yapo ila ule uzi mnadanganyana sana, niliusoma kipindi fulani una uongo mwingi sana.

Tuliyaishi hayo maisha ujanani, uongo unaujua na ukweli unaujua.
Mtu akisimulia story unajua hii ni yake au nae kasimuliwa ila kajifanya ni yake.
Huwezi elewa mdogo wangu, usipokua makini hii jf sote utatuona matajiri, tuna ndinga kali na mijimba nje ya mji na ni wachakataji wa mbususu tukuka 😂😂.
 
Wanawake ni wamuhimu sna na ndio wanaokufanya utafte ela ili usiiaibike uoe utulie na mamb mengine yaende na amini hakuna mwanamke atakupenda kam hauna nguvu.....
Je umuhimu wa mwanamke katika jamii unatokana tu na utamu wake kitandani na uzuri wake wa umbo linalomchochea mwanamume kingono?

au

Umuhimu wake unatokana na uwezo wake na uchochezi wake wa mafanikio kiuchumi, kijamii, na kihisia?
 
Je umuhimu wa mwanamke katika jamii unatokana tu na utamu wake kitandani na uzuri wake wa umbo linalomchochea mwanamume kingono?

au

Umuhimu wake unatokana uwezo wake na uchochezi wake wa mafanikio kiuchumi, kijamii, na kihisia?
Cha kwanza sikuzote huwaga muonekano wa nje .... ndoman unakuwa na hisia nae na unamuwazia sbabu ya appearance yake uzuri wake ndoman huwezi oa dem mbaya..

Alafu hayo mengine mtavumilian kadri mtakavyoishi mapenzi yenu....
 
Mambo yapo ila ule uzi mnadanganyana sana, niliusoma kipindi fulani una uongo mwingi sana.

Tuliyaishi hayo maisha ujanani, uongo unaujua na ukweli unaujua.
Mtu akisimulia story unajua hii ni yake au nae kasimuliwa ila kajifanya ni yake.
Huwezi elewa mdogo wangu, usipokua makini hii jf sote utatuona matajiri, tuna ndinga kali na mijimba nje ya mji na ni wachakataji wa mbususu tukuka 😂😂.
Mimi ni raisi wa ma jobless pro max, hivyo nitoe kwenye matajiri wa jf😂🤣
 
Tatizo sio nguvu za kiume tatizo ni aibu mwanaume kutafuta kipato kwa mwanamke , huku ukitumia nguvu za kiume kama silaha , japo ni sawa kwako na wengine ila kwa tamaduni zetu haina afya.
Wivuuuuuu wivuuuuu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ule uzi umeanza kuuona lini??

Nilishawahi kuchangia muda kidogo nadhani ni 2017/18 huko, ulikua jf enzi hizo??
Kwahyo unavyosema story za mule ni za uongo sasa yako uliweka ya nin?? Inamaana hata yako pia ni ya uongo??
 
Cha kwanza sikuzote huwaga muonekano wa nje .... ndoman unakuwa na hisia nae na unamuwazia sbabu ya appearance yake uzuri wake ndoman huwezi oa dem mbaya..

Alafu hayo mengine mtavumilian kadri mtakavyoishi mapenzi yenu....
Okay so huwaga unaangalia muonekano kwanza kama ana Tako au matiti mazuri halafu sasa Heshima, Nidhamu na uwajibikaji wake mtavumiliana.

I got you.

I listen, I don't judge.

✊🏿👊🏾👍🏾
 
Back
Top Bottom