Hakikisha nguvu zako za kiume ziko juu kila wakati, utanishukuru baadae

Hakikisha nguvu zako za kiume ziko juu kila wakati, utanishukuru baadae

Alafu hiki kisa na kile cha mmama wa michezo mbona hukuhadithia kwenye uzi wa kimasihara!!!
Kesho nipo free so ntakesha leo naandika asubuh nazidrop zotee. Ntaiweka ya madam wa field ujenzi wa basket na mmama wa ela ya mchezo... ila hii ya kwenye mhhh😂😂😂
 
Kesho nipo free so ntakesha leo naandika asubuh nazidrop zotee. Ntaiweka ya madam wa field ujenzi wa basket na mmama wa ela ya mchezo... ila hii ya kwenye mhhh😂😂😂
Ongezea na hiyo ya bajaji mkuu navisubiria vyote
 
Mwanangu kuna visa ni vyauongo nakubali ila vingine ni ukweli ila mazingira huwez kuamini..
mfano mim na mwanangu wakati nipo advance nlihamia day mbeya baad ya kuhama iringa boarding. Tulikuwa tunajishughulisha na bajaji huku tunasoma na tulishawah mgonga abiria kwenye bajaji tukiendesha kwa zam kutokea city pub mpka kwake uyole ndani huko majumba mapya alipanga ..
Sijawah kuhadithia sababu najua watu watasema chai ila ni kisa cha kweli ambacho watu hawawez kuamini.... tatizo ni mazingira tu
Ni vizuri kama umekiri uongo pia upo kule, fantasy za namna hiyo girls wengi wanapenda japo ni ngumu kusema anahitaji umazagamue mahali pa hovyo.

Wapelekee story tu, kikubwa ni gahawa isiishe kijiweni.
 
Hela haijui jinsia. Kaza kichwa mkuu
Hela haichagui jinsia ila upatikanaji wake unachagua. Jinsi waipatavyo baadhi ya Ke wewe Me huwezi kufanya ukaipata kwa njia hiyohiyo japo utaiita jina hilohilo HELA.
 
Back
Top Bottom