min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Naangalia japo ka upenyo ka kuona hawa vijana wapo sawa ,ila nashindwa kuwatofautisha na wale wadada wanakwenda uturuki ili kujazia makalio ili wawanase vibompa 🤔 binafsi nalinganisha hili jambo nashindwa kabisa kuona kama wapo sawa .Mizimu ya ukoo wetu, Ina weza fufuka ini pige😂🤣