Hakikisha nguvu zako za kiume ziko juu kila wakati, utanishukuru baadae

Ohooo endelea kusubiri ndege ferry kijana, ukitaka mishangazi kuna maeneo ya kuipata, ukitaka pisi standard zina maeneo yake.

Bahati bila juhudi huipati.
Huyo Jordy05 unayemwambia hivyo ameshatoboa we dogo huo ushauri labda unipe mimi huyo sio mwenzako kabisa kashatoboa huyo
 
Ohooo endelea kusubiri ndege ferry kijana, ukitaka mishangazi kuna maeneo ya kuipata, ukitaka pisi standard zina maeneo yake.

Bahati bila juhudi huipati.
Sasa ukisema uwekee juhudi kupata mishangazi ndo utapotea kabisa. Ishi maisha yako fanya maendeleo yako ila ninachoseme ukipata mshangazi uchape fimbo kisawasawa...
By the way mshangazi ninao hujasoma tu post yangu kwenye kimasihara..
 
Hela zangu haziusiani na mapenzi la kwanza hilo mana akili yangu inanisaidia,hzo notion tuwaachie wajinga,madomo zege,wasiojiamini,wasiojali mionekano yao na ambao show zao ni dk 10 chali.
Ila akina sisi tunazichakata mbususu free delivery af pisi kali af karibia every af na ka cost ka usafiri mara moja moja af hatujal wake wa madon,majimama ni motoo tu na huo ndo ukweli but sio muda LISSU akishnda urais mana ntakuwa na peace ov mind. ntaanza kuleta mikasa yangu ili kuthibitisha kauli zangu hapo juu... ENDELEENI KUHONGA.
 
wanangu mnajikuta watafutaji sana 😂😂hamna mda wakugonga madem... acha tuwasaidie tu
sio Kwa ubaya bro, ila uta kaza wangapi??. Hakuna tuzo kwenye hili.

na daima hustle zangu ndizi zinazo nipa ujasiri.
badala ya kuugeuza ulimi wangu kandabili, naweza jifunza lugha zaidi ya mbili.
 
Sasa ukisema uwekee juhudi kupata mishangazi ndo utapotea kabisa. Ishi maisha yako fanya maendeleo yako ila ninachoseme ukipata mshangazi uchape fimbo kisawasawa...
By the way mshangazi ninao hujasoma tu post yangu kwenye kimasihara..
Hajasoma visa vyako huyo bichwa na nimwekea kwenye uzi asome huyu dogo anakurupuka tu kujibu jibu hajui kama unamiliki chuma 😁😁😁
 
Hela zangu haziusiani na mapenzi la kwanza hilo mana akili yangu inanisaidia,hzo notion tuwaachie wajinga,madomo zege,wasiojiamini,wasiojali mionekano yao na ambao show zao ni dk 10 chali.
Ila akina sisi tunazichakata mbususu free delivery af pisi kali af karibia every af na ka cost ka usafiri mara moja moja af hatujal wake wa madon,majimama ni motoo tu na huo ndo ukweli but sio muda LISSU akishnda urais mana ntakuwa na peace ov mind. ntaanza kuleta mikasa yangu ili kuthibitisha kauli zangu hapo juu... ENDELEENI KUHONGA.
Hujaelewa uzi kabisa
 
Mungu hata kabla hajamfunza adam kujitaftia chakula na kujenga mazingira yake alimpa kwanza hawa... kitu cha umuhimu ndipo kupitia hawa adam akaanza kuangaika kutafta chakula na mambo mengine....
Wanawake ni wamuhimu sna na ndio wanaokufanya utafte ela ili usiiaibike uoe utulie na mamb mengine yaende na amini hakuna mwanamke atakupenda kam hauna nguvu.....
 
Back
Top Bottom