Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
wape nafasi vijana, Bora NikaUze kahawa 🤣PM zinamiminika huko kutaka hiyo nafasi ila nawaambia tayari ina mtu ambae ni wewe, ajabu wewe unaleta madoido.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wape nafasi vijana, Bora NikaUze kahawa 🤣PM zinamiminika huko kutaka hiyo nafasi ila nawaambia tayari ina mtu ambae ni wewe, ajabu wewe unaleta madoido.
Kama wewe uwezi wenzako tunaweza..Nyuzi za kina Poor Brain na Intelligent businessman hizi, vijana wanaacha kusaka dolali eti anataka ndondokela ya kula tunda kimasikhara ndio atoboe.
Yaani wewe mleta uzi unatushauri tuwe active kwa mizagamuo any time?? Yaani ujiuze kwa wamama aisee hiyo kazi anaiweza Poor Brain binafsi siwezi mnyenyekea au kukata mauno ili Ke anipe pesa dadeki, unakaza vikalio ili upewe teni, abadani siwezi.
Ndio maana nikakutag hapo, mambo yako haya mkuu.Kama wewe uwezi wenzako tunaweza..
Wanakwambia you is and me are not equally everyone love different things niga 😁😁😁😁
Vishu hapo kuna kitu kashakunywa...
una ibuka uwanja wa fisi na msuli wako😂🤣Madem hata mimi sina, mbiringe za madem niliachana nazo kitambo kidogo.
Msuli bila bukta wala boxer 😂😂😂😂, ni shwaa shwaa unasepa 😂😂una ibuka uwanja wa fisi na msuli wako😂🤣
Ahahahha mkuu mbona unataka inbox yangu ijae na unajua fika hawa mashangazi hawataki mtu uwe job less mazima lazima uwe kidogo unacho cha kufanyaMcheki Poor Brain ndo ana connection ya mishangazi hapa Tz, sasa wewe kula mihogo mibichi na karanga bila connection utaishia kuvimba tumbo na hupati hata wa kukuhonga buku.
Wape pande vijana, vijikazi vya hapa na pale vya kujishikiza wanavyo.Ahahahha mkuu mbona unataka inbox yangu ijae na unajua fika hawa mashangazi hawataki mtu uwe job less mazima lazima uwe kidogo unacho cha kufanya
ngoja siku wahuni wakudake, ndo uta jua we jinsia gani 😂😃Msuli bila bukta wala boxer 😂😂😂😂, ni shwaa shwaa unasepa 😂😂
Huko kote mi kontawa mkuungoja siku wahuni wakudake, ndo uta jua we jinsia gani 😂😃
Malipo yake yanacheza 100 mpaka 500 kwa mbao moja.haya boss, arifu ana uliza Mna tutemezha Bei gani??.
Naam wana kuita boyka wa vigunguti😂🤣Huko kote mi kontawa mkuu
hii yenyewe, location wapi hiyo??Malipo yake yanacheza 100 mpaka 500 kwa mbao moja.
Bei hupungua na kuongezeka kulingana na size ya mbao, kigongo/Mlima na umbali.
Hahahaha😂😂😂 mkulima hachagui jembe. Atapendelea trekta lakin akikosa akapata jembe au hata shoka anapiga kazi kigumugumu hvhv kudadek
Babe 😍 airtel inapokea?Nisiongee mengi sweery njoo usemee mwenyewe
Hahahah inapokea ilanitunze kwa ajili ya toto yetu 🤨🤣🤣Babe 😍 airtel inapokea?
😂🤣🤣🤣Hahahah inapokea ilanitunze kwa ajili ya toto yetu 🤨🤣🤣