Hakikisha unafanya kwa ukubwa Biashara yako wakati unaanza

Hakikisha unafanya kwa ukubwa Biashara yako wakati unaanza

Kwa wadau Wanaohitaji kuingia kwenye biashara hii nzuri nawakaribisha Sana ,hasa wadau wa mikoan miez hii biashara inahitajika Sana Ndo miez ya kuvaa Unaweza ukabuni kusambaza kwenye masoko,magulio, Stand,kuwasambazia kwenye maduka,kuuza kwenye vijiji huko fashion mbalimbali zinazitoka wanapenda Sana so wenye interesting tutazidi kupeana Mbinu Machimbo Mimi ntarahishisha Hilo
Dhumuni Ni Kukurahisishia Mteja Wetu Machimbo Kukuletea Bidhaa Bora Original Kwa Bei Nzuri , Fashion Mpya,Mpya Zinazotrend, dizain Tofaut Tofauti, Kama;
*YEBO YEBO
*SLIPPERS, SANDALS,
*Shoes & Clothes
*Tunatuma Mikoa Yote Kwa Oda
*Tunauza Kwa Rejareja na Jumla Kwa wafanyabiashara wa Dar na mikoani Tunatuma Kwa Oda
*Bei zinaanziaTsh 3000,5000,8000,10000,15000+
*Piga no 0716898393 , Whatsapp 0714994833
*Links Whatsapp group Uone update za dazain tofauti MHINA SUPER Discount SHOES SANDALS, SLIPPERS,YEBO YEBO, CLOTHES
 
Changamoto inayoweza kujitokeza katika hili ni, mfano kwa biashara ya genge mteja huwa anapenda anunue vitu anavyotaka vyote kwenye genge moja. Akikuta kitunguu huna basi hatonunua chochote anaenda kwenye genge lingine.

Amnaa
Hao ni wateja wachache sana tena wenye kipato kikubwa,
Lakini sisi wenye vipato vya chini huwa tunaangalia kwenye utapata vingi tena haijalishi umbali ni kiasi gani, tutakufikia tuu
 
Kuna kubadilishia gia HEWANI kwenye biashara ukiona kitu hakitoki unachotakiwa kufanya

ni kukitoa,unakitoaje? Ulikinunua kwa 500 mteja akija muuzie 500 "huko ndio kubadilishia gia hewani"

watanunua yote vitaisha maana hakuna mahali popote ataenda atauziwa 500 hicho kitu,Ukifanikiwa

kukiondoa Hela utayopata Jazia kwenye biashara inayotoka,endelea na mapambano.
Inamaana apa unatengeneza UWITAJI utakapo uza kwa shilingi mia tano na ulinunulia mia tano yawezekana watu walikuwa hawanunui kwaajiri ya bei hivyo utakaposhusha wataama kule wako nunua wataambizana kuja kwako na watakuwa wanakuja kununua na vitu vingine kwa sababu ya hiko kitu uoni kama utapoteza wateja ukiacha kukiuza ?
 
Back
Top Bottom