PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limewasimamisha wachezaji wawili wa timu ya Taifa ya Morocco, Achraf Hakimi (mechi mbili) na Ismaël Saibari (mechi tatu) baada ya kuonesha tabia isiyo ya kiungwana wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Senegal.
Aidha, Saibari ametozwa faini dola za Marekani 100,000 sawa na Tsh. 255.5 Milioni
Aidha, Saibari ametozwa faini dola za Marekani 100,000 sawa na Tsh. 255.5 Milioni