Hakimi na Saibari wasimamishwa na CAF, Saibari atozwa Faini ya Tsh 255.5 Milioni

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limewasimamisha wachezaji wawili wa timu ya Taifa ya Morocco, Achraf Hakimi (mechi mbili) na Ismaël Saibari (mechi tatu) baada ya kuonesha tabia isiyo ya kiungwana wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Senegal.

Aidha, Saibari ametozwa faini dola za Marekani 100,000 sawa na Tsh. 255.5 Milioni
 
Hawajafungiwa mechi kucheza
 
Tabia gani hizo zisizo za kiungwana ambazo hazitajwi?
 
Nilishangaa kuona Hakimi kapewa fair play award.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…