Kwa mwenendo tunaoshuhudia hivi leo kesi ya sabaya ni kiini macho kwa watanzania ,hapo hakuna jipya mbali na ushahidi dhahiri ambao upo na utakaokuwepo na utakao endelea kuwepo.Hakuna zengwe, inatokea kwa kesi nyingi tu.....
Kaanza kwenda mahakamani leo dogo kubadili hakimu sio kubadili kesiHakuna zengwe, inatokea kwa kesi nyingi tu.....
Nasema hii ilikuwa danganya toto, ili kuwaridhisha watanzania, kwani madhambi yaliyoratibiwa nao kupitia wakala wao huyo yalikuwa haya mithiliki tena.Sio zengwe ile ni michezo ya ccm watu wamjadili sabaya badala ya kujadili bajeti toka kwa wabunge wa serikali.
wala katiba siyo kipaumbele tenaKipaumbele Cha awamu hii ni kesi ya Sabaya ila mambo ya msingi kama tozo hakuna anajali.
Ushahidi upo..ila wanatishwa watu....Kwa mwenendo tunaoshuhudia hivi leo kesi ya sabaya ni kiini macho kwa watanzania ,hapo hakuna jipya mbali na ushahidi dhahiri ambao upo na utakaokuwepo na utakao endelea kuwepo.
Umetishwa?Ushahidi upo..ila wanatishwa watu....
Najua hata wewe hujali kwakua haikugusi, ama nakusingizia. Tetea hoja tajwa.Kipaumbele Cha awamu hii ni kesi ya Sabaya ila mambo ya msingi kama tozo hakuna anajali.
Na Raia tumegoma kumjadili huyo sabaya wao na walisubiria siku tozo zikianza ndo wamupeleke mahakamani. Tumechoka na usanii waoSio zengwe ile ni michezo ya ccm watu wamjadili sabaya badala ya kujadili bajeti toka kwa wabunge wa serikali.
We akili zako kama za sabaya tu#UPDATES HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Salome Mshasha,anayekuwa akiliza kesi namba 66 ya Unyanganyi wa kutumia silaha iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,Ole Sabaya na wenzake amebadilishwa kusikiliza kesi hiyo, sasa itasikilizwa..../https://t.co/Hq4VYofwjB https://t.co/EIcEOXfo8Q