Hakimu aliyekuwa akisaimamia kesi ya Sabaya abadilishwa

Hakimu aliyekuwa akisaimamia kesi ya Sabaya abadilishwa

#UPDATES HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Salome Mshasha,anayekuwa akiliza kesi namba 66 ya Unyanganyi wa kutumia silaha iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,Ole Sabaya na wenzake amebadilishwa kusikiliza kesi hiyo, sasa itasikilizwa.
===
HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Salome Mshasha, anayekuwa akiliza kesi namba 66 ya Unyanganyi wa kutumia silaha iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya na wenzake amebadilishwa kusikiliza kesi hiyo, na sasa itasikilizwa na Hakimu Mkazi Mwandamizi Odira Amworo, baada ya kufutwa kwa mashtaka ya awali na kufunguliwa mengine matatu.

Nipashe
Hajabadiliahwa,
Awali kesi ilikuwa mahakama ya Wilaya na Sasa imepelekwa mahakama ya mkoa

Kwa hiyo ulitaka Hakimu wa Wilaya aende kusikiliza kesi iliyopo mahakama ya Mkoa.
 
Back
Top Bottom