Hakimu aliyekuwa akisaimamia kesi ya Sabaya abadilishwa

Hakimu aliyekuwa akisaimamia kesi ya Sabaya abadilishwa

We mjinga tu,
Mashahidi walioteswa na sabaya wapo na wamejitokeza,
Subiri mumeo kama ataachiwa
Tumia akili wewe,kama ulikuwa moja wa bounser,najua unajigamba kwani boss,atarudi ni swala la muda tu,ila usilete majigambo kwangu.
 
chadema ni chama cha ajabu sana wao kiupa umbele diamond ashinde tuzo sasa hivi diamond gari lake fake mara sabaya mara miamala halafu makufuli haliwatoki moyoni chuki tuu chaggadema ovyo sana halafu wanataka kutawala nchi hapana mwisho wenu ni wabunge tu na madiwani na wenyekiti au kokosa yote
 
Subirini tu, msije kukimbia nyuzi zenu humu hapo baadae. Sabaya hana chake
 
Daaah watu wamekuwa vilaza sana!Hivi Kazi ya hakimu ni nini?
Hakimu analetewa ushahidi kisha hufanya maamuzi!
Sasa aliyemkamata Sabaya ni hakimu?Aliyechunguza tuhuma na kukamilisha ushahidi ni hakimu?
Shwain,hii inahitaji akili kubwa kweli?
 
#UPDATES HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Salome Mshasha,anayekuwa akiliza kesi namba 66 ya Unyanganyi wa kutumia silaha iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,Ole Sabaya na wenzake amebadilishwa kusikiliza kesi hiyo, sasa itasikilizwa.
===
HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Salome Mshasha, anayekuwa akiliza kesi namba 66 ya Unyanganyi wa kutumia silaha iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya na wenzake amebadilishwa kusikiliza kesi hiyo, na sasa itasikilizwa na Hakimu Mkazi Mwandamizi Odira Amworo, baada ya kufutwa kwa mashtaka ya awali na kufunguliwa mengine matatu.

Nipashe
Mods hamjatenda haki. Kichwa cha habari kilipaswa kubakia kilivyo.
 
Kamanda Sabaya akipewa hukumu ya kionevu, sisi wafuasi wake tutafanya kama walivyofanya wafuasi wa Zuma kule sauzi. Ole wao majaji wafanye fitina
 
Back
Top Bottom