Kabisa 😅Na tuwe na sidechick wa kutosha na wazuri kuwazidi. Ukimuona ulieeeee ukimaliza umpongeze jamaa kuwa ni mwamba sana
Ndio hao wanaokujaga kujuta miaka mbeleni wakikesha kwenye mikutano ya manabii"i thought he was too nice"
Yani binti anamaanisha kuwa hakupendelea jinsi jamaa alivyo "good boy" /simple/ sio machachari.
Mimi nilivyokuwa naambiwa hivi nilijuaga labda ni utani ila ni kweli wanawake wengi hawapendi good and honest guys, wanakuwa wanakudharau sana ukiwa hivi
Fantasy yao huwa nikupata bwana alie machachari/explosive/mwenye kautundu fulani hivi ila amuheshimu na kumtii, kwa bahati mbaya kila mmoja wao anaangukia pua🤣🤣🤣
View: https://youtube.com/shorts/ak-SmeoeFwA?si=lWLwdEJWWFQl2xd1
Kuna wengine hawatuogopi sasa...Sifa ya mwanaume ni kuogopwa bwana
Ila wanawake 😅Na tuwe na sidechick wa kutosha na wazuri kuwazidi. Ukimuona ulieeeee ukimaliza umpongeze jamaa kuwa ni mwamba sana
You are half man half genius mkuu...Tumia hio bidii kutafuta hela sio kufatilia akili ya chupi
Good/Honest maana yake hana hela..