Hakimu anamuuliza huyu binti, "kwa nini ulimuacha huyu kijana?", binti anajibu "i thought he was too nice" ila wanawake, duuh🤣🤣

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
"i thought he was too nice"
Yani binti anamaanisha kuwa hakupendelea jinsi jamaa alivyo "good boy" /simple/ sio machachari.

Mimi nilivyokuwa naambiwa hivi nilijuaga labda ni utani ila ni kweli wanawake wengi hawapendi good and honest guys, wanakuwa wanakudharau sana ukiwa hivi

Fantasy yao huwa nikupata bwana alie machachari/explosive/mwenye kautundu fulani hivi ila amuheshimu na kumtii, kwa bahati mbaya kila mmoja wao anaangukia pua🤣🤣🤣

View: https://youtube.com/shorts/ak-SmeoeFwA?si=lWLwdEJWWFQl2xd1
 
Ndio hao wanaokujaga kujuta miaka mbeleni wakikesha kwenye mikutano ya manabii
 
Wewe kuwa wewe na anayekuja na aje na wa kuondoka aondoke..., Kuishi maisha kwa ajili ya watu au fulani ni kujipunja sana ukizingatia maisha ni mafupi; Be Real.... (Whatever that may Be)
 
Back
Top Bottom