Hakimu wa Magoma ahojiwe

Hakimu wa Magoma ahojiwe

Taarifa za ziada kutoka wapi tena wakati washtaki na washtakiwa wote wanahudhuria vizuri kortini?
Wenye akili huko ni watatu
1. JK
2. Mzee Manara
3. Nzee Magoma
Ni Simba wanatafita pa kuficha nyuso baada ya chama na baleke kutua Yanga, hawatafua fafu. Kesi za akina Lissu na Mbowe zimefutwa sembuse hii ya magoma bana? Unajua Simba na Yanga wako akina nani humo? Njaa inafahamika na kesi inajulikana
 
Ni ujinga kuihusisha Simba kwenye kesi hii, maana waliofungua shauri ni wana Yanga kindakindaki dhidi ya baraza la wadhamini wao. Chama na Baleke sio wa kwanza, yupo Mkude na Okra hadi Boban pia, walienda kukiwasha jangwani. Ishu ni nani atawalipa mishahara

Pili, kesi ya akina Mbowe ilifutwa na mshitaki (Jamhuri) kwa kuiondoa mahakamani kabla ya hukumu. Hakuna mahali ambapo utakuta mtu au chombo kiliifuta hukumu ya Mbowe, bali kiliifuta kesi.

Hii ya akina Magoma ni hukumu ya Mahakama. Muda wa kupitia shauri umepita, na muda wa kukata rufaa umepita pia. Kwa lugha nyingine ni kwamba mshtakiwa alikuwa kimya muda wote huo kwa kuwa aliridhika na hukumu. Iliyobaki ni kukazia hukumu tu. Watafika court brokers kama Majembe au Yono kuwaondoa kwa nguvu wote ambao mahakama imetaja kutowatambua, kama hawataki kutoka kwa hiyari
 
Wewe na uelewa wako unadhani Kuna hakimu au jajji ambae hajui ukubwa wa Simba na Yanga kwenye nchii? Kuna hakimu au jajji ambae hajui mama Fatma Karume ni nani kwenye nchi hii kiasi cha yeye kushindwa kuweka wakali kwenye mashitaka kama haya yanayomhusu? Mahaka haijui kuwa mjuu wa mama Fatma ni wakili pia angeweza kusikiliza kesi ya Bibi yake? Kuna hakimu au jajji ambae hajui kwamba maamuzi ya kesi yatakwenda kuadhiri uongozi wa Yanga, wanachama, wachezaji na mashabiki wa Yanga hadi kesi isikilizwe kwa siri kiasi hicho?

Je, hakimu alijiridhisha kuwa magoma ni mwanachama hai wa Yanga wakati anafungua kesi?

Prof. Juma, JAJI mkuu lazima pia ajue ni nani ameamua kesi hii ili ahoji integrity yake.
 
Lini ulisikia hakimu anahojiwa kuhusu hukumu aliyotoa?
Kawaida usiporudhika na hukum unakata rufaa ili kesi iende mahakama ya juu zaidi .

Haya ni Mambo yanayofundishwa darasa la 6 na sio law school
Hakimu pià anao wakubwa wake, internal auditing ya mienendo ya mahakimu na kazi zao ipo. Hakimu huyu anahatarisha amani ya nchi kwa kuendesha kesi yenye maslahi makubwa kwa karibu zaidi ya nusu ya watanzania wote kwa namna hii. Ni uzembe na uhuni nadhani.
 
Aliyesikiliza kesi ya akina magomba alikuwa na uhakika gani kuwa sahihi za waliokuwa wanawakilishwa kwenye kesi zilikuwa hasijaghuhiwa?

Magoma anasema kuwa hukumu ya kesi alikuwanayo yeye mwenyewe na hajamkabidhi mtu yeyote, je hukumu ilifikaje mitandaoni, nani kawapa walioitoa kwenye public?

Aliyesikiliza kesi hana la kujibu?
Kaa mbali kama hujui kitu, usifikir mahakamani ni kijiwe cha ghahawa na bao.
 
Aliyesikiliza kesi ya akina magomba alikuwa na uhakika gani kuwa sahihi za waliokuwa wanawakilishwa kwenye kesi zilikuwa hasijaghuhiwa?

Magoma anasema kuwa hukumu ya kesi alikuwanayo yeye mwenyewe na hajamkabidhi mtu yeyote, je hukumu ilifikaje mitandaoni, nani kawapa walioitoa kwenye public?

Aliyesikiliza kesi hana la kujibu?
hukumu ya mahakama ni public doc wewe. ndio maana huwa inasomwa, na nakala inabaki mahakamani na any interested person anaweza kuipata.
 
Huu uzi upo kichovu sana ! Nani alikuambia maamuzi ya,mahakama ni suala la mtu binafsi?
Huu ni ushahidi mwingine kuwa elimu yetu imeshuka sana. Vijana wetu hawafaulu bali wanafaulishwa, wanakariri badala ya kuelimika. Mwendesha mashitaka ña watoa hukumu Kuna vitu vingi hawakuvizingatia kwenye kesi ya aina hii inayogusa sura ya nchi, uchumi wa nchi, italii wa nchi, usalama wa nchi na diplomasia ya nchi. Waliruhusu kuchezea amani, utulivu, uchumi, na dipromasia ya nchi.

Mfano, mahakama ilijiridhisha kuwa akina magoma wanawakilisha watu wangapi kati ya watu wangapi miongoni mwa Wadau wa Yanga? Walijirisha kama akina magoma wanao uwezo wa kuiendesha Yanga ya sasa kama wakimuondoa Hersi na wenzake? Walijirishisha na usalama wa akina magoma baada ya hukumu? Walijirisha kuwa akina Fatma Karume na wenzake wamewakilishwa kwa usahihi kwenye kesi? Walijirisha na matokeo yote ya hukumu kwenye amani na utulivu, uchumi wa nchi, utalii, mpira wetu, wadhamini wa mpira na ajira za wachezaji na wafanyakazi. Maana bila ya Simba na Yanga imara hata Azam media, NBC Bank, TBC, NIC, CRDB, sportpesa, m-bet, nk wasingekubali kujiingiza kwenye udhamini. Ukweli hakimu wa Magoma lazima wahojiwe walikuwa wanakusidia nini kitokee.
 
Kuna hoja umeibua huku wala sio kazi ya mahakama. Kazi ya mahakama ilikuwa kujiridhisha kuwa mlalamikaji ana lalamiko la msingi na la kisheria na kuwa wana haki(locus) ya kuleta lalamiko hilo mbele ya mahakama. Upande wa pili (mlalamikiwa)anapaswa kupewa taarifa ya uwepo wa shauri hilo ili awasilishe utetezi.
 
Kesi hiyo imenguruma kimyakimya wakati ni kesi inayogusa maslahi ya taifa. Hakuna upuuzi kama huo hata kama mm sio mwanasheria. Mihimili 3 ya nchi lazima isomane, huwezi kusema hiyo sio kazi ya mahakama kujua baada ya hukumu kunaweza kutokea nini. Kwa akili Yako mtu kama Mama Fatma angesshindwa kupata wakali wa kusimamia kesi yake hata kama yeye hayuko nchini au anaumwa? Kwanini Yanga haikutaarifiwa kuhusu kesi hiyo wakati maamuzi ya kesi yatakwenda kuiadhili Yanga?
 
Mzee Magoma ndio mwana Yanga mwenye akili
 
Taarifa za ziada kutoka wapi tena wakati washtaki na washtakiwa wote wanahudhuria vizuri kortini?
Wenye akili huko ni watatu
1. JK
2. Mzee Manara
3. Nzee Magoma
Namba 3 Mzee Mabomu hana akili yoyote bali ana njaa kali kama Sudan, dawa apewe kazi nzuri ya kubeba mipira kwenye mazoezi ya Yanga.
 
Back
Top Bottom