Unataka ajitokeze ili iweje? Hoja mfirisi kabisa. Hamna pa kukwepea!hayupo wa kubabaika kujibu upotoshaji wa huo msukule, bali waTanzania wazalendo wanajatibu kuwanusuru ninyi ambao ni rahisi kubebwa ufala kifikra na huyo msukule 🐒
Unataka ajitokeze ili iweje? Hoja mfirisi kabisa. Hamna pa kukwepea!hayupo wa kubabaika kujibu upotoshaji wa huo msukule, bali waTanzania wazalendo wanajatibu kuwanusuru ninyi ambao ni rahisi kubebwa ufala kifikra na huyo msukule 🐒
Mmefanya uharamia na uhalifu mkubwa sana. Mnatakiwa kushtakiwa kwa mambo mengi sana.nakuepusha usibebwe ufala na huo msukule, unajidai kushupaza shingo,
continue do that at your own risk 🐒
hivi shetani akitubu anakua ibilisi, pepo au msukule?🐒Kuwa jambazi haizuii wewe siku Moja kutibu na kuwataja majambazi wenzako na ndio maana amesema kuwa anaomba msamaha kwa watanzania na pili mfumo huo ni mzuri kwa watu wazuri na ni mbaya kwa watu wenye Nia ovu,sio kila mtu anaruhusiwa kuwa na silaha za kivita mpaka uwe umepitia mafunzo na Bado watu waovu waliopitia mafunzo wanafanya uovu.
nakuepusha usibebwe ufala na huo msukule, unajidai kushupaza shingo,
continue do that at your own risk 🐒
Bado hamjapiga chafya vizuri, mtapiga chafya na kujamba, kujinyea humo humo. Ugoro ni mkali huunakuepusha usibebwe ufala na huo msukule, unajidai kushupaza shingo,
continue do that at your own risk 🐒
Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.
Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?
Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?
Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
ni muhimu sana kujiepusha na upotishaji wa Hamphrey Polepole gentleman,
Yeye kajificha,
surely, wewe kwa akili zako timamu kabisa unaweza kujitokeza kutekeleza maagizo yake bila kujiuliza why kajificha na kulikoni asijitokeze na muungane pamoja kwenda kutekeleza huo ugoro wake?
be wise and be careful plz gentleman 🐒
Yaani bora utulie tu, unachoandika inaonyesha uko kwenye total confusion. Utakufa na presha burehivi shetani akitubu anakua ibilisi, pepo au msukule?🐒
Tunamtaka Mdude, hakuna uchaguziwatekaji si walikua chadema gentleman?
saivi hawapo tena.
Jitokeze wewe bas aliekubeba ufala kifikra, huku yeye akiwa kajificha 🤣
Chadema ndo walimuua Ally kibao?watekaji si walikua chadema gentleman?
saivi hawapo tena.
Jitokeze wewe bas aliekubeba ufala kifikra, huku yeye akiwa kajificha 🤣
Kifo ni kifo tugambush sio?🐒
Amewaanika, mnawaambia watu wakapige kura wakati matokeo tayari mnayo mkononigentleman,
hakuna atakae tekeleza ugoro wa huo msukule 🐒
Hapo ndiyo ujue aina ya thinking na reasoning ya watu ikoje linapokuja suala la kujadili suala/jambo la msingi.KUNA MAHALI KUNA UKWELI, JAPO SIpAJUi..
Inashangaza mtu anatoa maoni yake, kuna wanajibu kabla wahusika wenyewe...
Wahusika wamkanushe na sisi tupate ukweli..
Kwa sababu ya buku buku au?gentleman,
hakuna atakae tekeleza ugoro wa huo msukule 🐒
Empty head ni wewe unayeendelea kujibinua wakati watu tumeshatosheka.relax gentleman with empty head 🐒
nami ninawasihi muwe live kwenye TV mkifuatilia kwa ukaribu na umakini mkubwa jinsi mamilioni ya waTanzania watakavyijitokeza kupiga kura na wakitumia haki na uhuru wao wa kikatiba kuchagua viongozi wao kwa uhuru, haki na uwazi katika mazingira ya amani na utulivu wa kiwango cha juu sana.Kwa kuwa mnasema mnakubalika na mtapigiwa kura, basi watoto wetu wote tutawazuia nyumbani na wazazi wote hawatatoka kwenda kushiriki kwenye uchafuzi.