Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

hivi shetani akitubu anakua ibilisi, pepo au msukule?🐒
Mkubwa mkubwa mkubwa nchi za ulaya Kuna majambazi walisamehewa kifungo au kupunguziwa miaka ya kifungo kwa sababu ya kukili makosa Yao na kukubali kushirikiana na Police.
 
Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.

Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?

Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?

Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
CCM tunamsilikiliza kwa sababu bado ni kada
 
We ndio umechanganyikiwa. Jibu kwa hoja alichosema kuwa chama kimeunga nida na nec
 
Huo wakati akiwa Katibu wa Itikadi na uenezi Samia naye pia aliku ni VP,
Hamphrey Polepole ameomba msamaha,
Na ameshauri kuwe na maridhiano ya kitaifa na zifanyike reform mbalimbali,
Samia akiwa sehemu ya hicho kaomba msamaha lini watanzania?
Kuhusu kujificha hata Kristo Yesu alitoroshwa Israel akafichwa Misri hadi mroho wa madaraka alipoondolewa,
Naye pia Mtume Muhamad (S.A.W)
Aliwakimbia akina Bujehiri na makafiri wengine akakimbilia Madina.
So Kwa HP yuko sahihi.
 
Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.

Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?

Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?

Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Msengerema katika usengerema wako,
 
Yes gentleman,
ni chadema masalia pekee ndio ambayo inamskiza huyo msukule. Na si unajua chadema masalia wamebaki heche na amani tu na wamepigwa marufuku kushiriki uchaguzi kwasasababu ilikua ni genge la kihalifu?🐒
Sawa mkuu,basi nitajie chama kimoja tu cha upinzani ambacho hakiwezi kumsikiliza.
 
Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.

Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?

Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?

Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kenge sana wewe
 
Back
Top Bottom