Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

nami ninawasihi muwe live kwenye TV mkifuatilia kwa ukaribu na umakini mkubwa jinsi mamilioni ya waTanzania watakavyijitokeza kupiga kura na wakitumia haki na uhuru wao wa kikatiba kuchagua viongozi wao kwa uhuru, haki na uwazi katika mazingira ya amani na utulivu wa kiwango cha juu sana.

karibuni sana familia na ninawatakia matangazo mema mubashara siku ya uchaguzi.
TBC ukweli na uhakika
 
Kutujulisha tu undani wa uchawi wa masisiemu inatutosha kenge kwa kuanzia kijana
 
Kumbe wewe uko na Chadema. Chizi kama chizi katika ubora wako. Hata nikikuuliza unitajie hicho chama ambacho akiwezi/kinaweza kumsikiliza huwezi kukutaja.
Yes gentleman,
ni chadema masalia pekee ndio ambayo inamskiza huyo msukule. Na si unajua chadema masalia wamebaki heche na amani tu na wamepigwa marufuku kushiriki uchaguzi kwasasababu ilikua ni genge la kihalifu?🐒
 
Yes gentleman,
ni chadema masalia pekee ndio ambayo inamskiza huyo msukule. Na si unajua chadema masalia wamebaki heche na amani tu na wamepigwa marufuku kushiriki uchaguzi kwasasababu ilikua ni genge la kihalifu?🐒kwa
 
Kwa taarifa yako Kuna wa CCM wengi humu kuliko unavyodhani wewe mafudi
 
Wajinga wa lumumba mnakuja na majibu mepesi kiasi hiki? Hivi Huko lumumba hakuna wenye Akili timamu tofauti na wewe?
 
ni muhimu sana kujiepusha na upotishaji wa Hamphrey Polepole gentleman,

Yeye kajificha,
surely, wewe kwa akili zako timamu kabisa unaweza kujitokeza kutekeleza maagizo yake bila kujiuliza why kajificha na kulikoni asijitokeze na muungane pamoja kwenda kutekeleza huo ugoro wake?

be wise and be careful plz gentleman 🐒
Kwa nmaneno yale na hali ilivyo, lazima ajifiche..
Ukweli watu wanuogopa, Polepole yupo hadhiri, wewe na mimi tumejificha, nani ana asilimia kubwa ya ukweli
 
Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.

Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?

Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?

Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Sisi hatujui katubu au hajatubu hayo ni yake na Mungu wake. Tunachojua ni kwamba kasema kweli na kwamba tusisumbuke kupiga Kura maana CCM mna matokeo tayari. Matokeo ya 2020 Jimbo la Mbinga na Jimbo la Tarime vijijini yalikuwa na takwimu Sawa Kila kitu.
 
Back
Top Bottom