Maendeleo kutokana na kulipwa buku buku au?ili hatimae iwe rahisi kudhibiti mihemko na makasiriko yako ya kindezi yakipanda wakati waTanzania wengine wakiinjoy maendeleo 🐒
Maendeleo kutokana na kulipwa buku buku au?ili hatimae iwe rahisi kudhibiti mihemko na makasiriko yako ya kindezi yakipanda wakati waTanzania wengine wakiinjoy maendeleo 🐒
Wewe ni Mkurugenzi wa NIDA?ni muhimu sana kujiepusha na upotishaji wa Hamphrey Polepole gentleman,
Yeye kajificha,
surely, wewe kwa akili zako timamu kabisa unaweza kujitokeza kutekeleza maagizo yake bila kujiuliza why kajificha na kulikoni asijitokeze na muungane pamoja kwenda kutekeleza huo ugoro wake?
be wise and be careful plz gentleman 🐒
Vyama vya Siasa vipi unavyomaanisha? CCM na makorokocho mengine yaliyobaki ispokuwa CDM yote ni CCM. Kwa hiyo hata yasipomsikiliza Pole pole ni sawa tu. Wapiga kura ndio tutaamuaulitaka vyama vya siasa viskilize na kutekeleza umbea wa mwanaume alie mafichoni?
hiyo si nonsense kabisa gentleman ?🐒
Kwa hiyo wale mnaowateka siyo wanyonge? Kwa hiyo mnateka na kuua watu gani tilatila?atakutishia nani mnyonge kama wewe gentleman?
enjoy freedom of speech hr at JF 🐒
jikite kwenye hoja mahususi mezani bila kutapatapa gentleman,ROSTAM AZIZI TUMESHA MU EXPOSE NA WATANZANIA WOTE WAMEMJUA NI MUHALIFU NO 1 YETE NA GENGE LAKE....HAKUNA TENA NJIA YA YEYE KUJITAKASA
Wewe ,tuna Akili,tuna masikio,tuna macho napua ,midomo na maamuzi!Anzisha mada Yako!ni muhimu sana kujiepusha na upotishaji wa Hamphrey Polepole gentleman,
Yeye kajificha,
surely, wewe kwa akili zako timamu kabisa unaweza kujitokeza kutekeleza maagizo yake bila kujiuliza why kajificha na kulikoni asijitokeze na muungane pamoja kwenda kutekeleza huo ugoro wake?
be wise and be careful plz gentleman 🐒
Siyo kuhamisha mada wewe unasema Pole pole anaongea akiwa mafichoni. Na Mimi nakuuliza kwa dada yake mlienda kufanya Nini? Kama asingekuwa anajificha ingekuwaje? Kwenu anayewakosoa ni adui. Teka, fira, ua!huna haja ya kuhamisha mjadala ikiwa uko pointless juu ya hoja mahususi mezani gentleman 🐒
Wanatuaminisha kumbe uozo,umejaa huko kijani!Mimi nafurahi sana kuona nyie chawa FC a.k.à viande wa Lumumba mnavyohangaika na kutapatapa kumjibu Mh. Balozi Polepole.
Polepole ni wakupuuzwa tu hana jipya. Anasema mwaka huu uchaguzi hautokuwa wa haki, kwani mwaka 2020 ulikuwa wa haki? Mbona hakupayuka kipindi kile??Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.
Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?
Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?
Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Na wewe umetokamo, tayari ugoro umeshakupata. Endelea kupigapo kachafya ili makamasi yaliyojaa kwenye Hilo boga yatokePolepole ni wakupuuzwa tu hana jipya. Anasema mwaka huu uchaguzi hautokuwa wa haki, kwani mwaka 2020 ulikuwa wa haki? Mbona hakupayuka kipindi kile??
Maendeleo gani kwenye rushwa, wizi na ubadhirifu wa mali ya umma? Lini mlishafanyia kazi ripoti za CAG ambapo kila mwaka ni madudu?maendeleo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi yanayotokana na mipango ya Serikali sikivu ya CCM inayotekelezwa kwa gharama za kodi za waTanzania wote 🐒
Sitegemei uandike tofauti na hivi ulivyoandika. Kuna wewe, Lucas mwashamba, cocochanel, na wenzenu, huwa hamuangalii ukweli wa kilichosemwa, bali huwa mnashambulia personality ya mtu badala ya kujibu hoja..!!Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.
Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?
Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?
Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
vyama vya siasa vyote vyenye usajili wa kudumu kwa mujibu wa sheria na ambavyo vimekidhi sifa na vigezo vya kisheria kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria October 29, 2025.Vyama vya Siasa vipi unavyomaanisha? CCM na makorokocho mengine yaliyobaki ispokuwa CDM yote ni CCM. Kwa hiyo hata yasipomsikiliza Pole pole ni sawa tu. Wapiga kura ndio tutaamua