Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

KUNA MAHALI KUNA UKWELI, JAPO SIpAJUi..
Inashangaza mtu anatoa maoni yake, kuna wanajibu kabla wahusika wenyewe...
Wahusika wamkanushe na sisi tupate ukweli..
Watetezi wa ccm mitandaoni wengi Akili zao ni za hovyo hujiandia chochote pasipo hata kutafakari, ccm ya sasa ina vilaza wengi
 
IMG-20250822-WA0016.jpg
 
ni muhimu sana kujiepusha na upotishaji wa Hamphrey Polepole gentleman,

Yeye kajificha,
surely, wewe kwa akili zako timamu kabisa unaweza kujitokeza kutekeleza maagizo yake bila kujiuliza why kajificha na kulikoni asijitokeze na muungane pamoja kwenda kutekeleza huo ugoro wake?

be wise and be careful plz gentleman 🐒
Nani kakuambia kajificha, ulimtafuta? Jibu kwanza
 
Uwenda amefanya toba hivyo anatoa shuhuda wa dhambi walizokuwa wanafanya lazima tumsikikize
 
hayupo wa kubabaika kujibu upotoshaji wa huo msukule, bali waTanzania wazalendo wanajatibu kuwanusuru ninyi ambao ni rahisi kubebwa ufala kifikra na huyo msukule 🐒
Si mpaka muwe na Akili ya kujibu sasa lakini kama watu wa kujibu ni kama Sample yako wajinga wajinga watajibu nini?
 
ni muhimu sana kujiepusha na upotishaji wa Hamphrey Polepole gentleman,

Yeye kajificha,
surely, wewe kwa akili zako timamu kabisa unaweza kujitokeza kutekeleza maagizo yake bila kujiuliza why kajificha na kulikoni asijitokeze na muungane pamoja kwenda kutekeleza huo ugoro wake?

be wise and be careful plz gentleman 🐒
🚮
 
Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?
Haki ya kutoa maoni na ushauri inatolewa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Taznania ambayo Mama yako anaibagaza na kuiita Kijitabu tu. Kama hamuwezi kuheshimu katiba ambayoinalinda uhuru wa kutoa maoni na kulinda haki ya kuishi maneno yako yanamtaka ajitokeze ili muendelee kumnyamazisha kama yanayoendelea kwa Tundu Lissu na wengine mliwatanguliza mbele ya haki. Kikwete aliwahi kuwahsauri kwamba jibuni hoja na sio kupiga Rungu.
Sasa hivi Wizara ya Mambo ya Ndani ya nChi na Idara zake wamejipa malezi na ulizni wa CCM. Polisi kukamata na kupersecut wakosoaji wa ccm (rejea kilichotokea mahakamani kwa watu wanaoenda mahakamani, kuwapiga na kuwatupa maporini na baadae kukana licha ya kurecodiwa, juzi kujazana mahakamani ili kuminya haki ya watu kusikiliza shauri), Uhamiaji kufamya kazi ya kuzuia freedom of movement of people (rejea ya Golugwa na Rupia) NIDA kufanya kazi ya kusanikisha taarifa za wananchi na mfumo wa ccm pamoja na NEC!
Jana mmeamua kuanza kutangaza Pole pole amepata ajali maana mipango yenu ni kuuwa wakosiaji na wanaoshauri? kwa maana hiyo bora akae mafichoni lakini tupate habari muhimu kama hizi Mbwa wa sokoni
 
nami ninawasihi muwe live kwenye TV mkifuatilia kwa ukaribu na umakini mkubwa jinsi mamilioni ya waTanzania watakavyijitokeza kupiga kura na wakitumia haki na uhuru wao wa kikatiba kuchagua viongozi wao kwa uhuru, haki na uwazi katika mazingira ya amani na utulivu wa kiwango cha juu sana.

karibuni sana familia na ninawatakia matangazo mema mubashara siku ya uchaguzi.
TBC ukweli na uhakika 🐒
Kwa uchaguzi upi? Wapi lini saa ngapi?
Tanzania kuna uchaguzi?
Tambua kuwa Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maigizo ya Salum mwalimu vs Mkoloni Kaburu toka Zanzibar vyama mchepuko vya ccm vyote hazina watu vipo vipo tu vinakula pesa za walipa kodi kwa njia haramu za kishetani
 
hao ndio wanao amua mustakabali wa Taifa letu kwa niaba ya wachache waliokubali kubebwa ufala wa kifikra na msukule polepole 🐒
Mustakabari upi? Wamuamulie nani? Kuteka watu kuua watu kuwabambikia kesi watu kesi za uongo, wewe ndiyo msikule number one
 
Hapana kumeoza ufipani kuleee ambapo mpaka sasa hawajui adui yao ni nani??!! Mara walie na Mbowe, wengine walie na Lisu mpaka wanakimbia chama, wachahe wanaibwekea serikali ambayo ipo mbali nao, mahututi wanali na CCM, mbumbumbu wanalia Mahakama nazani umeona uozo wa ufipani ulivyo😂😂
Mfumo wa chama Tawala ni mbovu na wahuni!
 
Yaani hawa jamaa wametufanya mazombi kweli...embu fikiria kama lisemwalk na polepole ndio sahihi:,

1. Mifumo yakuhesabu kura ya NEC ni Yao
2. Vyama vya siasa vilivyochukua form mali yao
3. Wasimamizinwa uchaguzi ni mali yao
3.Dola ni mali yao
4. Wachapisha makaratasi ya kura, ni watu wao!

Eeh Mungu Baba, kama si wewe sisi tutaponaje hapa😭😭
 
Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.

Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?

Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?

Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wewe ni mnufaika wa futungo. Kwani Tz Kuna vyama vya siasa au makapi na mapandikizi yenu ❓Watanzania sio wajinga
 
jikite kwenye hoja mahususi mezani bila kutapatapa gentleman,

na ikiwa uko pointless, just relax and learn from others. Huna haja ya kuhamisha mjadala 🐒
Msalimie Mkoloni Rostam azizi
 
ni muhimu sana kujiepusha na upotishaji wa Hamphrey Polepole gentleman,

Yeye kajificha,
surely, wewe kwa akili zako timamu kabisa unaweza kujitokeza kutekeleza maagizo yake bila kujiuliza why kajificha na kulikoni asijitokeze na muungane pamoja kwenda kutekeleza huo ugoro wake?

be wise and be careful plz gentleman 🐒
..kaeleza sababu za kujificha, kujificha sio ishu..ni mpumbavu juha anadiscuss angalizo limetokea wapi badala ya angalizo lenyewe!
 
Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.

Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?

Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?

Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Bado hamjasema, mtasema tu mbona? Kila siku nilikuwa nakuambia Tanzania hakuna uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Naona waliokuwa wanashiriki wizi wa kura wa ccm moja kwa moja wanajitokeza kukiri. Uovu sio jambo la kudumu.
 
Back
Top Bottom