Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

hayupo wa kubabaika kujibu upotoshaji wa huo msukule, bali waTanzania wazalendo wanajatibu kuwanusuru ninyi ambao ni rahisi kubebwa ufala kifikra na huyo msukule πŸ’
Unataka ajitokeze ili iweje? Hoja mfirisi kabisa. Hamna pa kukwepea!
 
hivi shetani akitubu anakua ibilisi, pepo au msukule?πŸ’
 
nakuepusha usibebwe ufala na huo msukule, unajidai kushupaza shingo,

continue do that at your own risk πŸ’
nakuepusha usibebwe ufala na huo msukule, unajidai kushupaza shingo,

continue do that at your own risk πŸ’
Bado hamjapiga chafya vizuri, mtapiga chafya na kujamba, kujinyea humo humo. Ugoro ni mkali huu
 


CCM vs CCM
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚

Sasa gentleman, hizi ela za uchaguzi si bora wangelipiwa wanachuo boom tu jaman?
 


Anajua asipojificha watamuua,
Na ni kweli watamuua, wala sio siri
 
KUNA MAHALI KUNA UKWELI, JAPO SIpAJUi..
Inashangaza mtu anatoa maoni yake, kuna wanajibu kabla wahusika wenyewe...
Wahusika wamkanushe na sisi tupate ukweli..
Hapo ndiyo ujue aina ya thinking na reasoning ya watu ikoje linapokuja suala la kujadili suala/jambo la msingi.
 
Kwa kuwa mnasema mnakubalika na mtapigiwa kura, basi watoto wetu wote tutawazuia nyumbani na wazazi wote hawatatoka kwenda kushiriki kwenye uchafuzi.
nami ninawasihi muwe live kwenye TV mkifuatilia kwa ukaribu na umakini mkubwa jinsi mamilioni ya waTanzania watakavyijitokeza kupiga kura na wakitumia haki na uhuru wao wa kikatiba kuchagua viongozi wao kwa uhuru, haki na uwazi katika mazingira ya amani na utulivu wa kiwango cha juu sana.

karibuni sana familia na ninawatakia matangazo mema mubashara siku ya uchaguzi.
TBC ukweli na uhakika πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…