Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

Hamphrey Polepole ndie aliekua msaidizi mkuu wa chinja chinja wa demokrasia nchini,
Surely,
amekua mtakatifu ghafla namna hii hata gentleman ubabaike na maagizo yake potofu akiwa mafichoni?πŸ’
Mungu atakulani tu ipo siku
 
Nisipomsikiliza Polepole nitamsikiliza Karume aliyekuwa rais wa Zanzibar ambaye hivi karibuni alisema "CCM HAIJAWAHI KUSHINDA UCHAGUZI ZANZIBAR", kilichofuatia ni kutishwa kufukuzwa uanachama jambo ambalo yeye aliliafiki lakini wakashindwa kumfukuza.
Kwa haya ujue wewe ni kikaragosi tu.
 
Kwa hiyo wale mnaowateka siyo wanyonge? Kwa hiyo mnateka na kuua watu gani tilatila?
jukumu la drama utekaji lilitekelezwa kikamilifu na genge la kihalifu la Chadema, hivi sasa genge hilo hatari sana la kihalifu kimesambaratika na ndio maana hakuna drama za kilofa za utekaji tena Tanazania πŸ’
 
Unajibinua tu nimeshakujibu. CCM na hayo makorokocho mengine ni CCM Ile Ile.
 
jukumu la drama utekaji lilitekelezwa kikamilifu na genge la kihalifu la Chadema, hivi sasa genge hilo hatari sana la kihalifu kimesambaratika na ndio maana hakuna drama za kilofa za utekaji tena Tanazania πŸ’
 
Sawa ni CHADEMA. Mwenye jukumu la kuhakikisha Usalama wa raia na mali zao ni Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine. Kama mlishabaini kuwa wanaohusika kwenye matukio ya utekaji, ufiraji na mauaji ni CHADEMA, mlishamkamata nani mkamshtaki kwa tuhuma hizo?
 
Tilalila. Jibu hapo usikimbie
 
Maendeleo gani kwenye rushwa, wizi na ubadhirifu wa mali ya umma? Lini mlishafanyia kazi ripoti za CAG ambapo kila mwaka ni madudu?
waTanzania wataendelea kuinjoy maendeleo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi yanayochochewa na serikali sikivu ya CCM bila kujali mihemko na dhana potofu za wavivu kama wewe gentleman.

Hatua kali za kinidhamu na za kisheria nitaendelea kuchukuliwa dhidi ya wabadhirifu wote wa mali za umma kadiri inavyowezekana na sio kwasasababu ya makasiriko ya wasio elewa namna serikali inavyofanya kazi πŸ’
 
yaani ukweli unapimwa kwa asilimia gentleman?🀣

aliejificha ni huo msukule,
wewe umejificha wap na unaonekana hadi mvi zako?
au hapo unajiona umejificha gentleman?πŸ’
wewe mshabiki tu,
HUNA UZALENDO KABISA
 
Nani alishachukuliwa hatua kutokana na madudu kwenye ripoti za CAG za kila mwaka? Kama kungekuwa na hatua zinachuliwa, hayo madudu yangekuwepo kila mwaka? Wizi, rushwa, ufiraji, utekaji
 
Sitegemei uandike tofauti na hivi ulivyoandika. Kuna wewe, Lucas mwashamba, cocochanel, na wenzenu, huwa hamuangalii ukweli wa kilichosemwa, bali huwa mnashambulia personality ya mtu badala ya kujibu hoja..!!
hakuna mahali msukule umeshambuliwa gentleman,

ni upotoshaji pekee ndio unaoshambuliwa kwasasababu haukubaliki hata kidogo πŸ’
 
Hamphrey Polepole ndie aliekua msaidizi mkuu wa chinja chinja wa demokrasia nchini,
Surely,
amekua mtakatifu ghafla namna hii hata gentleman ubabaike na maagizo yake potofu akiwa mafichoni?πŸ’
Hakika umenena vyema huyu mtu ndie aliyekuwa mstari wa mbele kushangilia mauaji ya demokrasia na raia,hii serikali mbovu anayoipigia kelele ilipita kwa kishindo kutokana na shinikizo na twakwa lao, na yule Muovu mwenzie.
Watu wenyenia njema walipiga sana kelele, kwamba tusitengeneze siasa za hivi! zitakua na madhara huko mbele na hazitachagua wa kumkamdamiza, wao walihisi wapo salama tena walifika mbali mpaka wakataka kuongeza mda wa raisi kukaa madarakani, hivi lile pendekezo lingefanyika leo hii hali ingekuwaje kwa upande wake
 
Maana yake huko kijani kumeoza!
 
Jana upepo umepuliza nyeti za kuku zimeonekana mubashara...🀣
 
Hata nyie msiolitakia mema taifa letu awamu hii mtasikia tu kwani,lazima mafuvu ya pasuke.
 
Hamphrey Polepole ndie aliekua msaidizi mkuu wa chinja chinja wa demokrasia nchini,
Surely,
amekua mtakatifu ghafla namna hii hata gentleman ubabaike na maagizo yake potofu akiwa mafichoni?πŸ’
Mungu atakulani tu ipo siku utayapata matokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…