Kwa hiyo?Hakika umenena vyema huyu mtu ndie aliyekuwa mstari wa mbele kushangilia mauaji ya demokrasia na raia,hii serikali mbovu anayoipigia kelele ilipita kwa kishindo kutokana na shinikizo na twakwa lao, na yule Muovu mwenzie.
Watu wenyenia njema walipiga sana kelele, kwamba tusitengeneze siasa za hivi! zitakua na madhara huko mbele na hazitachagua wa kumkamdamiza, wao walihisi wapo salama tena walifika mbali mpaka wakataka kuongeza mda wa raisi kukaa madarakani, hivi lile pendekezo lingefanyika leo hii hali ingekuwaje kwa upande wake
Hujamsikia akitubu mbele ya Mungu na watanzania? Hujamsikia akikiri kushiriki?Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.
Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?
Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?
Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza π
Mungu Ibariki Tanzania
Apuuzwe maana waliasisi siasa za hivi kwa mbweembwe wakizani watakua salama wao na genge lao, kumbe Mungu nae anamipango yake. Haya nyakati zao zimepitwa wamekuja wengine kutumia mfumo wao wanakua wakali anahaha na kuona njia hii siyo sahihi ni kandamiziKwa hiyo?
that's the point gentleman,Mm binafsi nina mashaka sna na aina ya siasa za polepole na hata chadema, hyu polepole ndio amesimamia mifumo mibofu Leo hii anaonekana takatifu na mtu makini wkt ni tapeli tu na wasichkijuwa chadema ni hili polepole anapigania reform za chama Chake ccm ila chadema waka unga relii kumpa sapoti
Ndio ndio na ndio ukweli halisiMm binafsi nina mashaka sna na aina ya siasa za polepole na hata chadema, hyu polepole ndio amesimamia mifumo mibofu Leo hii anaonekana takatifu na mtu makini wkt ni tapeli tu na wasichkijuwa chadema ni hili polepole anapigania reform za chama Chake ccm ila chadema waka unga relii kumpa sapoti
siasa za kubebwa ufala wa kifikra na tapeli wa kisiasa ndio umaskini mbaya zaidi unaolitesa taifa letu kwasasas.sikuwahi kumkubali, polepole akiwa ametopea kwenye madaraka, lakini hii hainizuii kumuunga mkono pale napoona anajaribu kuukwepa mkono wa dhambi.
siasa nzuri ni ile isiyobemendwa na fikra za watawala wenye malengo finyu. ni muda sasa wa mtoa mada
kujibandua kwenye ukandamizwaji huu.
Nonsense!!a
Apuuzwe maana waliasisi siasa za hivi kwa mbweembwe wakizani watakua salama wao na genge lao, kumbe Mungu nae anamipango yake. Haya nyakati zao zimepitwa wamekuja wengine kutumia mfumo wao wanakua wakali anahaha na kuona njia hii siyo sahihi ni kandamizi
Usilolijua ni kama usiku wa Giza....anointing of God is at work....just stay tuned.Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.
Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?
Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?
Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza π
Mungu Ibariki Tanzania
Hapana kumeoza ufipani kuleee ambapo mpaka sasa hawajui adui yao ni nani??!! Mara walie na Mbowe, wengine walie na Lisu mpaka wanakimbia chama, wachahe wanaibwekea serikali ambayo ipo mbali nao, mahututi wanali na CCM, mbumbumbu wanalia Mahakama nazani umeona uozo wa ufipani ulivyoππMaana yake huko kijani kumeoza!
Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.
Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?
Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?
Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza π
Mungu Ibariki Tanzania
Acha kuwaza Kwa kutumia Makalio Gentlemanna shetani akitubu anakua ibilisi right?
na ndio anakua kiongozi wa ibada, si ndio gentleman?π
Angalau watu Sasa wameanza kuamka.... Nchi hii sio ya mwaka 77.ni muhimu sana kujiepusha na upotishaji wa Hamphrey Polepole gentleman,
Yeye kajificha,
surely, wewe kwa akili zako timamu kabisa unaweza kujitokeza kutekeleza maagizo yake bila kujiuliza why kajificha na kulikoni asijitokeze na muungane pamoja kwenda kutekeleza huo ugoro wake?
be wise and be careful plz gentleman π
Hichi kipengele cha CCM na NIDA nakikubali ni kweli.Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.
Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?
Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polep niole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?
Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza π
Mungu Ibariki Tanzania
Wewe ndiyo umechanganyikiwa unaandika story ndefu isiyo na point hata mojo , usiwapangie ccm waliopevuka wenye Akili Timanu ambao wanakataa Ujinga wenu, wewe endelea kuvuta Bangi ukijidanganya kuwa unavyoandika vina maana kumbe umejitoa fahamu zote upo upo tuKatika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.