Hakiyanani.. Nimeamini demu wangu muaminifu!!!

Hakiyanani.. Nimeamini demu wangu muaminifu!!!

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
1,899
Reaction score
3,688
Niaje wazeiyaaah..
Mko Bwaxx..

EBANA SAWA :
Nyie waswahili nasikia mwasema "kosea maisha usikosee nini...." Haya bana...
Kwa kuwa Namie sitaki kabisa kuja kujuta baada ya kuingia kwa ndoa nimefanya intensive investigation kwa my future baby mama na nimejiridhisha aisee kweli she deserve to be my next pillow...

MNAJUA NIMEFANYAJE :
Kwanza nilitafuta line za simu kama nne hivi tofauti... Nikawa namtongoza kwa gia mbali mbali nazozijua mie mfano kumrushia pesa ndefu 'with no reason', kumjulia hali each and every hour, good night every day, Good morning kibao... Kumualika heavy dinner at some Hot locations in Dar es Salaam.... Na mengine meengi siwezi kuorodhesha hapa sababu hamnilipi!!!!!

Yaan kama haitoshi nimetafuta machizi wanaojidai eti ni wataalam wa kupiga sound cjui ma 'play boy' na hela ikabidi nawapa ili tu wamtokee mchumba wangu TUONE kama atalainika LAKIN WAAAPI....

Kila mbinu nikitumia WAAAPI.... Mwanamke hababaiki... Hababaiki na pesa, dinner, romantic words, Good morning, I love you wala nini kubabake.

Mimi mwenyewe nimekua nilimtongoza kwa zaidi ya miez mitatu sasa (kwa umakini mkubwa haja gundua kama ni mie) pesa kibao amekula nimeingia loss kubwa zaidi ya Tsh........... Sasa nimeinua mikono juu na kusema kuwa NIMEAMINI MANZI WANGU MUAMINIFU....

Na kama mnadhani nawapiga porojo basi bila hiyana nawadondoshea namba yake hapa (picha siweki acheni ujinga) mnaojiita wataalam wa kupiga sound na vijisenti vyenu ruksa kumchalenji MREMBO wangu.... Then mtanipa feedback....
Akikubali kula mzigo (najua Huwezi hata utumie ndumba)

0764086614

Hiyo sasa tiririkeni mazee.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Kama mwaminifu je unapomtongoza kwa namba zingine anakuambia kuna mtu kamtongoza? Unapomtumia pesa kwa simu nyingine anakuambia kuna mtu kanitumia pesa kiasi fulan kwenye harakati za kutongoza? Huyo ungetoa namba za ukweli ningekupa feedback mda mfupi sana
 
Kama ni kweli hii ni namba yake basi jiandae kulia..
 
Kama ni kweli hii ni namba yake basi jiandae kulia..
Kama ni kweli demu keshaliwa kitambo. Hao masela aliowatuma kumtongoza wamepiga halafu wakajifanya demu kachomoa. Kwa vile alishajua jamaa anamjaribu akuchuna tu akitumiwa pesa lakini pembeni masela wanakulaga.
 
Angekuwa hataki pesa angerudisha usije kuta wenzako mzigo walikula ila hawataki kukwambia.
Nina mashaka na hiyo namba kama kweli ya demu wako.
 
Mkuu hiyo namba mbona ni ya vailet nimetoka kumla mzgo last week?? inamaana unatak nimtongoze tena??
 
Mtoa mada unataka watakaokuja kichwa kichwa kwenye hiyo namba uwaambie watume hela hahahahahajaha #wajingandiowaliwao#
 
Hii ni zaidi ya uchuzi, huwezi kuanika namba ya mtu bila idhini yake unamsababishia usumbufu binti wa watu
 
Mkuu ushauri wangu wa bure kabisa sihitaji hata senti moja" kama hujawahi kupenga kamasi kwa mkono wa kushoto basi usimwamini huyo mwanamke,wanawake wengi akili zao hubadilika kila muda usishangae siku ukimuoa ukamkuta na tabia za ajabu".
NB:
Dunia pana mtu mmoja hawezi kujaa,unaweza ukawa unakaziwa wewe lakini wengine wakawa wanapiga kwa freestyle...Km ni kweli ulicho post fikiri Mara mbili huyo mwanamke/msichana angekuwa na uaminifu angerudisha hizo hela unazomtumia kwasababu hajui zimetoka kwa nani na zimetumwa kwake kwasababu gani....Kila la kheri buda.
 
Kumbe ndo akili za ma engineer zilivo..........
"....We have engineers in their numbers. Tanzania has civil engineers but our roads are not made by Tanzanian civil engineers, it is the Chinese who are present in this assembly. So we have engineers who cannot even make roads..." PLO LUMUMBA
 
Back
Top Bottom