Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Katika watu waliotulia na kuandika series hakuna kama walioandika The Sopranos.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inahusu maisha ya Italian Mafia. Story imebase kwa huyu bosi wa Mafia aitwaye Toni Saprano. Maisha yake ya kimafia, nyumbani na yake binafsi.Ongezea nyama kidogo,tusiojua tuwe interested nayo
Sopranos all day. Tony Soprano, Sylvio, Paulie, Christopher, Junior Soprano, AJ, Carmela, Meadow, Jennifer Melfi, Adriana, Johnny Sack, Pussy Malanga aka big Pussy, Phil Leotardo, Artie Bucco, Ralph, Tony Brandeto, Furio ... What a cast! One of the greatest TV series of all time!Katika watu waliotulia na kuandika series hakuna kama walioandika The Sopranos.
Ka Ralphie kalikuwa kananiudhi sana. Kuna character wako vizuri hadi unawachukia ukweli. bao haijatokea kama Sopranos.Sopranos all day. Tony Soprano, Sylvio, Paulie, Christopher, Junior Soprano, AJ, Carmela, Meadow, Jennifer Melfi, Adriana, Johnny Sack, Pussy Malanga aka big Pussy, Phil Leotardo, Artie Bucco, Ralph, Tony Brandeto, Furio ... What a cast! One of the greatest TV series of all time!
Ralph alikuwa mkorofi sana. Nilisikitika sana alipomuua yule demu aliyekuwa stripper. Nakumbuka pia line yake moja. Mshikaji wake alimwomba mkopo, Ralphie akasema "I can't lend you money, you're my friend, if you don't pay me I wouldn't be able to hurt you".Ka Ralphie kalikuwa kananiudhi sana. Kuna character wako vizuri hadi unawachukia ukweli. bao haijatokea kama Sopranos.
Nimeiona mara kadhaa. Also one of the best.Breaking bad umeiangalia ?
Katika watu waliotulia na kuandika series hakuna kama walioandika The Sopranos.
Breaking Bad kali lakini haiwezi kuingia kwenye The Sopranos. Hii haina scenes dramatic za kukupandisha tension. Wala haina mambo ya kufikirika. Hii ni kama unaangalia maisha halisi ya watu wa kazi.Breaking bad itakuwa ilikuwa timu ya soka
Kalikuwa mizinguo sana. Ni vyema kalizimishwa kanaona.Ralph alikuwa mkorofi sana. Nilisikitika sana alipomuua yule demu aliyekuwa stripper. Nakumbuka pia line yake moja. Mshikaji wake alimwomba mkopo, Ralphie akasema "I can't lend you money, you're my friend, if you don't pay me I wouldn't be able to hurt you".
Sifa ulizotaja braking bad inazo Mara mbiliBreaking Bad kali lakini haiwezi kuingia kwenye The Sopranos. Hii haina scenes dramatic za kukupandisha tension. Wala haina mambo ya kufikirika. Hii ni kama unaangalia maisha halisi ya watu wa kazi.
Hata kidogo. Breaking Bad ina overdramatization nyingi sana.Sifa ulizotaja braking bad inazo Mara mbili
Katika watu waliotulia na kuandika series hakuna kama walioandika The Sopranos.