Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Game of thrones labda apewe sifa muandishi wa vitabu vyake. Ni series nzuri lakini huwezi weka karibu na The Sopranos au The wire ambazo ni kama maisha halisi.
Mkuu uzuri na ubora wa series/movies haupimwi na “uhalisia wa maisha”
Game of throne ni Fantasy genre
Huwezi kukuta uhalisia wa maisha kwenye fantasy genre
Ina wezekana wewe hupendi “uongo” wa kisinema lakini ndio film zinaongoza kwa mauzo na kupendwa