Hakujawahi kuwa na series kali zaidi ya The Sopranos

Hakujawahi kuwa na series kali zaidi ya The Sopranos

Breaking Bad kali lakini haiwezi kuingia kwenye The Sopranos. Hii haina scenes dramatic za kukupandisha tension. Wala haina mambo ya kufikirika. Hii ni kama unaangalia maisha halisi ya watu wa kazi.
The Sopranos ina mambo gani ya kufikirika? Just maisha ya kila siku ya mafia
Au kufikirika una maana gani?
 
Aisee ilinishinda hiyo..labda niianze tena.
Maana hata Breaking Bad niliangaliaga episodes chache nikaachana baada ya kelele za watu humu nilirudi kuicheki tena,nilijilaumu nilikuwa wapi siku zote.
Kweli mkuu raha ya breaking bad upate HD na subtitles
 
The Sopranos ina mambo gani ya kufikirika? Just maisha ya kila siku ya mafia
Au kufikirika una maana gani?
Soprano haina mambo ya kufikirika, Breaking bad ndiyo inayo na overdramatization.
 
Nimeanza kuangalia The Wire, nimeipenda sana. Full majeans mabwanga🙂
 
Niliangalia series moja ya kikorea Vagabond aisee nilipenda kwa maana kila lililokua likinijia akilini ningefanya ndivyo jamaa anafanya lakin bado mbaka inaisha hatukumjua adui exactly aya ndio mambo mimi napenda sio mtu ajifiche ndani nyuma ya friji alafu wewe uwe unamtafuta alafu umtafute usimuone ndio nini sasa [emoji1787][emoji1787]
 
Labda umaanishe series za kimafioso naweza kukuelewa

Kuhusu kuumiza kichwa kiutungaji nadhani muandishi wa Game of Thrones apewe tu maua yake aisee
Game of thrones labda apewe sifa muandishi wa vitabu vyake. Ni series nzuri lakini huwezi weka karibu na The Sopranos au The wire ambazo ni kama maisha halisi.
 
Niliangalia series moja ya kikorea Vagabond aisee nilipenda kwa maana kila lililokua likinijia akilini ningefanya ndivyo jamaa anafanya lakin bado mbaka inaisha hatukumjua adui exactly aya ndio mambo mimi napenda sio mtu ajifiche ndani nyuma ya friji alafu wewe uwe unamtafuta alafu umtafute usimuone ndio nini sasa [emoji1787][emoji1787]
Wakorea bado sana. Ni wahindi wa kizazi kipya.
 
Back
Top Bottom