Hakujawahi kuwa na series kali zaidi ya The Sopranos

Ongezea nyama kidogo,tusiojua tuwe interested nayo
Inahusu maisha ya Italian Mafia. Story imebase kwa huyu bosi wa Mafia aitwaye Toni Saprano. Maisha yake ya kimafia, nyumbani na yake binafsi.
 
Katika watu waliotulia na kuandika series hakuna kama walioandika The Sopranos.
Sopranos all day. Tony Soprano, Sylvio, Paulie, Christopher, Junior Soprano, AJ, Carmela, Meadow, Jennifer Melfi, Adriana, Johnny Sack, Pussy Malanga aka big Pussy, Phil Leotardo, Artie Bucco, Ralph, Tony Brandeto, Furio ... What a cast! One of the greatest TV series of all time!
 
Ka Ralphie kalikuwa kananiudhi sana. Kuna character wako vizuri hadi unawachukia ukweli. bao haijatokea kama Sopranos.
 
Ka Ralphie kalikuwa kananiudhi sana. Kuna character wako vizuri hadi unawachukia ukweli. bao haijatokea kama Sopranos.
Ralph alikuwa mkorofi sana. Nilisikitika sana alipomuua yule demu aliyekuwa stripper. Nakumbuka pia line yake moja. Mshikaji wake alimwomba mkopo, Ralphie akasema "I can't lend you money, you're my friend, if you don't pay me I wouldn't be able to hurt you".
 
Kalikuwa mizinguo sana. Ni vyema kalizimishwa kanaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…