Game of thrones labda apewe sifa muandishi wa vitabu vyake. Ni series nzuri lakini huwezi weka karibu na The Sopranos au The wire ambazo ni kama maisha halisi.
Wakorea bado sana. Ni wahindi wa kizazi kipya.
Fantansy ni rahisi kuzitengeneza, lakini kutengeneza sinema hadi mtu akahisi anangalia maisha halisi inahitaji ufundi wa hali ya juu sana katika kuandika na kuigiza.Mkuu uzuri na ubora wa series/movies haupimwi na “uhalisia wa maisha”
Game of throne ni Fantasy genre
Huwezi kukuta uhalisia wa maisha kwenye fantasy genre
Ina wezekana wewe hupendi “uongo” wa kisinema lakini ndio film zinaongoza kwa mauzo na kupendwa
Tofauti kubwa ya Hollywood ni kwamba kipaji kinapewa kipaumbele zaidi. Hawa Wakorea, Wahindi, na bongo Movie wanaangalia kwanza urembo wa muigizaji. Ndiyo kipaumbele chao kikubwa. Kazi za watu kama hao siwezi kuzichukulia serious.Mkuu nilikua na imani kama yako mkuu
Nilipokuja kuwazingatia aisee jamaa wako vizuri mmno
Ni vile tumethirika sana na film za Hollywood kwahiyo kila kitu nje ya hapo tunataka kiwe exactly kama za Hollywood
Mkuu check pm nimekuchekNiliangalia series moja ya kikorea Vagabond aisee nilipenda kwa maana kila lililokua likinijia akilini ningefanya ndivyo jamaa anafanya lakin bado mbaka inaisha hatukumjua adui exactly aya ndio mambo mimi napenda sio mtu ajifiche ndani nyuma ya friji alafu wewe uwe unamtafuta alafu umtafute usimuone ndio nini sasa [emoji1787][emoji1787]