Hakujawahi kuwa na taifa la Palestina kwenye historia yote kabla ya 1947, hawa wapalestina wanadai ardhi yao ipi ?

Taifa la Tanzania kwa mara ya kwanza limezaliwa 1964, Leo hii tukivamiwa na wa iran tuna haki ya kulipigania kulirudisha hata baada ya miaka 1000 kupita ... Israel ni Taifa la kale halijaanzishwa kama Tanzania miaka ya juzi juzi
 
Taifa la Tanzania kwa mara ya kwanza limezaliwa 1964, Leo hii tukivamiwa na wa iran tuna haki ya kulipigania kulirudisha hata baada ya miaka 1000 kupita ... Israel ni Taifa la kale halijaanzishwa kama Tanzania miaka ya juzi juzi
Wairan ni Watanzania wa Kale unless hujui historia ya nchi yako. Iran walinunua Pwani ya Afrika mashariki na ukisikia Kilwa kiongozi wake alikua ni mwana mfalme wa Iran ya kale aka Persia.

Na wa Israel wa kale ni Palestina ya Leo kama tafiti mbalimbali za kisayansi zinavyoonesha.
 
Taifa la Tanzania kwa mara ya kwanza limezaliwa 1964, Leo hii tukivamiwa na wa iran tuna haki ya kulipigania kulirudisha hata baada ya miaka 1000 kupita ... Israel ni Taifa la kale halijaanzishwa kama Tanzania miaka ya juzi juzi
Somo rahisi ila kwa muuza alkasus ni gumu saaana.
 
Mkuu historia ya mashariki ya kati haifanani kabisa na historia Tanganyika.
Mataifa ya mashariki ya kati yanahistoria zao zaidi ya miaka 3000 iliyopita.
Si Kweli Saudi Arabia ni ni Taifa Changa kabisa, Iran taifa Changa, UAE, Qatar etc mataifa mengi hayo miaka 100 ama 150 iliopita yalikua yana majina tofauti.


Hio Ramani ya Middle East 1936.
 
Hao waarabu walitokea wapi Sasa?......hawa wazungu weupe(white Jews) walikuwepo hapo toka lini?
 
Hii Historia uliosema mkuu ni According to Israel ila Historia according to Wana sayansi na Wataalamu wengine Wapalestina wa Sasa ndio wa Israel wa kale walio badili dini na kuwa Wakristo na waisilamu.

Wapalestina wakristo pamoja na makundi ya kiyahudi kama Samaritan ndio wana damu kali zaidi ya Israel ya kale sababu wao hawaoani na watu wengine wanoana wenyewe kwa wenyewe

Wapalestina waisilamu wa nafika hadi 70% ya Israel ya kale hawa wamechanganyika na makundi mengine kama wazungu, waarabu na weusi.

Wapalestina si waarabu na hawajawahi kuwa waarabu kibaolojia hawa wamekuwa tu arabized na kufuata culture ya kiarabu, lakini sio waarabu kiasili.

Ashkenazi na jews wengine walio toka Ulaya uisrael wao ni wa kuchovya, kama jamaa mwengine alivyokoment wengi asili zao ni Georgia, Poland, Ukraine etc, unakuta Dna zao generation ya 30 iliopita ndio alikua na mama Myahudi, yaani bibi, bibi yake, bibi yake, bibi yake mpaka mara 30 ndio alikua myahudi. Damu kama asilimia 3 tu ndo ya kiyahudi.

Wayahudi ambao Damu zao bado ni Strong kwenye uyahudi wa kale ni kama Mizrahi, Sepharadic hao Samaritan etc.


View: https://twitter.com/DalrympleWill/status/1745017283016020447?lang=en

View: https://twitter.com/MiroCyo/status/1712258026881921287
 
Unasahau kama Gaza ilikiwepo tangu enzi za Daudi na lilikuwa eneo lililojitegemea nje na utawala wa Umoja wa Ufalme wa Israel
 
Mkuu sina hakika lakini inawezekana kabisa ukawa upo sahihi

Haja yangu uliyoni quote nilikua najaribu kueleza namna taifa linavyoweza kuanzishwa bila kujali wakinani waliwahi kukaa au akina nani walowezi
 
 
Mleta mada ana mhemko wa Kilokole, wala haijui historia. Pale aliposema tu wakati wa utawala wa Uingereza ktk eneo la Palestina ndo kipindi Wayahudi walipelekwa Utumwani Ulaya sikuendelea Tena kusoma Kwa umakini.
 
Ni kweli kuwa hakujawahi kuwa na taifa la Palestina kama nchi huru yenye mipaka yake. Eneo linalofahamika kama "Palestine" kihistoria limekuwa likikaliwa na jamii tofauti-tofauti kutokana na kutawaliwa na falme au madola mengi mbalimbali ya kale.

Wapalestina wa sasa ni Waarabu waliotokana na muingiliano kati ya Wapalestina wa kale na Waarabu wa kale waliohamia kutoka rasi ya Kiarabu (Arabian Peninsula) karne ya 7.
 
Lete proof ya kisayansi, ama kihistoria wapalestina wa Sasa ni waarabu.
 
Duh ni sahihi ulichoandika lakini
 
Umetiririsha vzri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…