Hakujawahi kuwa na taifa la Palestina kwenye historia yote kabla ya 1947, hawa wapalestina wanadai ardhi yao ipi ?

Hakujawahi kuwa na Taifa la Tanzania kabla ya 1964, Je wangekuja wa Iran Kabla ya mwaka 1964 na kuchukua hili eneo na kusema ni lao sababu mababu zao zaidi ya miaka 1000 iliopita walilinunua je ingekubali wazawa wote waondoke Nchi hii na kupisha wa Iran?
Taifa la Tanzania kwa mara ya kwanza limezaliwa 1964, Leo hii tukivamiwa na wa iran tuna haki ya kulipigania kulirudisha hata baada ya miaka 1000 kupita ... Israel ni Taifa la kale halijaanzishwa kama Tanzania miaka ya juzi juzi
 
Wairan ni Watanzania wa Kale unless hujui historia ya nchi yako. Iran walinunua Pwani ya Afrika mashariki na ukisikia Kilwa kiongozi wake alikua ni mwana mfalme wa Iran ya kale aka Persia.

Na wa Israel wa kale ni Palestina ya Leo kama tafiti mbalimbali za kisayansi zinavyoonesha.
 
Taifa la Tanzania kwa mara ya kwanza limezaliwa 1964, Leo hii tukivamiwa na wa iran tuna haki ya kulipigania kulirudisha hata baada ya miaka 1000 kupita ... Israel ni Taifa la kale halijaanzishwa kama Tanzania miaka ya juzi juzi
Somo rahisi ila kwa muuza alkasus ni gumu saaana.
 
Mkuu historia ya mashariki ya kati haifanani kabisa na historia Tanganyika.
Mataifa ya mashariki ya kati yanahistoria zao zaidi ya miaka 3000 iliyopita.
Si Kweli Saudi Arabia ni ni Taifa Changa kabisa, Iran taifa Changa, UAE, Qatar etc mataifa mengi hayo miaka 100 ama 150 iliopita yalikua yana majina tofauti.

Red_Leather_Ottoman_Paper_MOCKUP_1296x.png

Hio Ramani ya Middle East 1936.
 
Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa wayahudi ukaitwa Israel ikiwa inajulikana kihistoria. upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio kinachofanya kuwe na vita mpaka leo hii, wapalestina wana kauli mbiu ya "from the river to the sea" ikimaanisha wanaotaka ardhi yote kutoka mto Yordan mpaka kwenye bahari iwe yao na kuwaua wa israel wote asibaki hata moja.

1. Hapo kabla eneo lote la Palestina ya sasa na Israel lilikuwa koloni la Uingereza. ni katika kipindi hiki wisrael waliowahi kupelekwa ulaya kutumikishwa, walianza harakati za kurudi kwenye ardhi yao kwa wingi

2. Kabla ya Uingereza, kulikuwepo Himaya ya Ottoman, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

3. Kabla ya the Himaya ya Ottoman, kulikuwepo Tawala ya kiisalmu ya Mamluk wa Misri, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

4. Kabla ya the Tawala ya kiislam ya Mamluk wa Misri, kulikuwepo himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

5. Kabla ya himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, kulikuwepo falme ya kikristo ya Jerusalem, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

6. Kabla ya the falme ya kikristo ya Jerusalem, kulikuwepo himaya za Umayyad na Fatimid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

7. Kabla ya the himaya za Umayyad na Fatimid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

8. Kabla ya himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya Sassanid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

9. Kabla ya the himaya ya Sassanid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

10. Kabla ya the himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya waroma, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

11. Kabla ya the himaya ya waroma, kulikuwepo tawala ya Hasmonean, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

12. Kabla ya the tawala ya Hasmonean, kulikuwepo himaya ya Seleucid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

13. Kabla himaya ya Seleucid, kulikuwepo himaya ya Alexander wa Mcedonia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

14. Kabla ya the himaya ya Alexander wa Mcedonia, kulikuwepo himaya ya Persia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

15. Kabla ya the himaya ya Persia, kulikuwepo himaya ya Babiloni, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

16. Kabla ya the himaya ya Babiloni, kulikuwepo falme za Israel na Judah, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

17. Kabla ya falme za Israel na Judah, kulikuwepo ufalme wa Israel, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

18. Kabla ya the ufalme wa Israel, ulikuwepo Muungano wa watoto 12 ya Yakobo ambao kila moja alikuwa na eneo lake na kuanzisha kabila lake, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

19. Kabla ya hapo kulikuwa na himaya ya Caanan iliyoanzishwa na Hamu aliekuwa mtoto wa Noah, Yakobo aliishi moja ya eneo ambalo likarithiwa na watoto wake 12 na baadae wakaungana kuwa nchi moja ya Israel,

Kipindi hicho himaya ya Caanan walikuwa ni watu weusi kama ilivyo nchi jirani ya misri kabla ya kukaliwa na waarabu wa sasa
Hao waarabu walitokea wapi Sasa?......hawa wazungu weupe(white Jews) walikuwepo hapo toka lini?
 
Mkuu unachotakiwa kujua ni namna gani Taifa huanzishwa

USA hapo kabla ilikua inakaliwa na wahindi wekundu, wavamizi walowezi wa kizungu wakalowea na watumwa...... leo hii tunataifa la USA

Yes historia inaonyesha Waisrael waliwahi kuishi pale wakiwa kama dominant lakini tawala mbali mbali ziliwafanya wakaondoka na kwenda kulowea nchi zingine na hapo ndipo waarabu wakalowea
Waarabu wamekaa pale zaidi ya miaka 600 na eneo lile likawa linaitwa Palestine

Bara la Africa ushahidi wa kihistoria unaonyesha walikua wanaishi watu weusi tu kabla walowezi wa kiarabu hawajalowea na leo tuna mataifa kama misri algeria morroco yamejaa waarabu
Hii Historia uliosema mkuu ni According to Israel ila Historia according to Wana sayansi na Wataalamu wengine Wapalestina wa Sasa ndio wa Israel wa kale walio badili dini na kuwa Wakristo na waisilamu.

Wapalestina wakristo pamoja na makundi ya kiyahudi kama Samaritan ndio wana damu kali zaidi ya Israel ya kale sababu wao hawaoani na watu wengine wanoana wenyewe kwa wenyewe

Wapalestina waisilamu wa nafika hadi 70% ya Israel ya kale hawa wamechanganyika na makundi mengine kama wazungu, waarabu na weusi.

Wapalestina si waarabu na hawajawahi kuwa waarabu kibaolojia hawa wamekuwa tu arabized na kufuata culture ya kiarabu, lakini sio waarabu kiasili.

Ashkenazi na jews wengine walio toka Ulaya uisrael wao ni wa kuchovya, kama jamaa mwengine alivyokoment wengi asili zao ni Georgia, Poland, Ukraine etc, unakuta Dna zao generation ya 30 iliopita ndio alikua na mama Myahudi, yaani bibi, bibi yake, bibi yake, bibi yake mpaka mara 30 ndio alikua myahudi. Damu kama asilimia 3 tu ndo ya kiyahudi.

Wayahudi ambao Damu zao bado ni Strong kwenye uyahudi wa kale ni kama Mizrahi, Sepharadic hao Samaritan etc.

View: https://twitter.com/DalrympleWill/status/1745017283016020447?lang=en

View: https://twitter.com/MiroCyo/status/1712258026881921287
 
Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa wayahudi ukaitwa Israel ikiwa inajulikana kihistoria. upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio kinachofanya kuwe na vita mpaka leo hii, wapalestina wana kauli mbiu ya "from the river to the sea" ikimaanisha wanaotaka ardhi yote kutoka mto Yordan mpaka kwenye bahari iwe yao na kuwaua wa israel wote asibaki hata moja.

1. Hapo kabla eneo lote la Palestina ya sasa na Israel lilikuwa koloni la Uingereza. ni katika kipindi hiki wisrael waliowahi kupelekwa ulaya kutumikishwa, walianza harakati za kurudi kwenye ardhi yao kwa wingi

2. Kabla ya Uingereza, kulikuwepo Himaya ya Ottoman, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

3. Kabla ya the Himaya ya Ottoman, kulikuwepo Tawala ya kiisalmu ya Mamluk wa Misri, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

4. Kabla ya the Tawala ya kiislam ya Mamluk wa Misri, kulikuwepo himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

5. Kabla ya himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, kulikuwepo falme ya kikristo ya Jerusalem, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

6. Kabla ya the falme ya kikristo ya Jerusalem, kulikuwepo himaya za Umayyad na Fatimid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

7. Kabla ya the himaya za Umayyad na Fatimid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

8. Kabla ya himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya Sassanid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

9. Kabla ya the himaya ya Sassanid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

10. Kabla ya the himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya waroma, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

11. Kabla ya the himaya ya waroma, kulikuwepo tawala ya Hasmonean, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

12. Kabla ya the tawala ya Hasmonean, kulikuwepo himaya ya Seleucid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

13. Kabla himaya ya Seleucid, kulikuwepo himaya ya Alexander wa Mcedonia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

14. Kabla ya the himaya ya Alexander wa Mcedonia, kulikuwepo himaya ya Persia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

15. Kabla ya the himaya ya Persia, kulikuwepo himaya ya Babiloni, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

16. Kabla ya the himaya ya Babiloni, kulikuwepo falme za Israel na Judah, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

17. Kabla ya falme za Israel na Judah, kulikuwepo ufalme wa Israel, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

18. Kabla ya the ufalme wa Israel, ulikuwepo Muungano wa watoto 12 ya Yakobo ambao kila moja alikuwa na eneo lake na kuanzisha kabila lake, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

19. Kabla ya hapo kulikuwa na himaya ya Caanan iliyoanzishwa na Hamu aliekuwa mtoto wa Noah, Yakobo aliishi moja ya eneo ambalo likarithiwa na watoto wake 12 na baadae wakaungana kuwa nchi moja ya Israel,

Kipindi hicho himaya ya Caanan walikuwa ni watu weusi kama ilivyo nchi jirani ya misri kabla ya kukaliwa na waarabu wa sasa
Unasahau kama Gaza ilikiwepo tangu enzi za Daudi na lilikuwa eneo lililojitegemea nje na utawala wa Umoja wa Ufalme wa Israel
 
Hii Historia uliosema mkuu ni According to Israel ila Historia according to Wana sayansi na Wataalamu wengine Wapalestina wa Sasa ndio wa Israel wa kale walio badili dini na kuwa Wakristo na waisilamu.

Wapalestina wakristo pamoja na makundi ya kiyahudi kama Samaritan ndio wana damu kali zaidi ya Israel ya kale sababu wao hawaoani na watu wengine wanoana wenyewe kwa wenyewe

Wapalestina waisilamu wa nafika hadi 70% ya Israel ya kale hawa wamechanganyika na makundi mengine kama wazungu, waarabu na weusi.

Wapalestina si waarabu na hawajawahi kuwa waarabu kibaolojia hawa wamekuwa tu arabized na kufuata culture ya kiarabu, lakini sio waarabu kiasili.

Ashkenazi na jews wengine walio toka Ulaya uisrael wao ni wa kuchovya, kama jamaa mwengine alivyokoment wengi asili zao ni Georgia, Poland, Ukraine etc, unakuta Dna zao generation ya 30 iliopita ndio alikua na mama Myahudi, yaani bibi, bibi yake, bibi yake, bibi yake mpaka mara 30 ndio alikua myahudi. Damu kama asilimia 3 tu ndo ya kiyahudi.

Wayahudi ambao Damu zao bado ni Strong kwenye uyahudi wa kale ni kama Mizrahi, Sepharadic hao Samaritan etc.

View: https://twitter.com/DalrympleWill/status/1745017283016020447?lang=en

View: https://twitter.com/MiroCyo/status/1712258026881921287

Mkuu sina hakika lakini inawezekana kabisa ukawa upo sahihi

Haja yangu uliyoni quote nilikua najaribu kueleza namna taifa linavyoweza kuanzishwa bila kujali wakinani waliwahi kukaa au akina nani walowezi
 
Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa wayahudi ukaitwa Israel ikiwa inajulikana kihistoria. upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio kinachofanya kuwe na vita mpaka leo hii, wapalestina wana kauli mbiu ya "from the river to the sea" ikimaanisha wanaotaka ardhi yote kutoka mto Yordan mpaka kwenye bahari iwe yao na kuwaua wa israel wote asibaki hata moja.

1. Hapo kabla eneo lote la Palestina ya sasa na Israel lilikuwa koloni la Uingereza. ni katika kipindi hiki wisrael waliowahi kupelekwa ulaya kutumikishwa, walianza harakati za kurudi kwenye ardhi yao kwa wingi

2. Kabla ya Uingereza, kulikuwepo Himaya ya Ottoman, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

3. Kabla ya the Himaya ya Ottoman, kulikuwepo Tawala ya kiisalmu ya Mamluk wa Misri, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

4. Kabla ya the Tawala ya kiislam ya Mamluk wa Misri, kulikuwepo himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

5. Kabla ya himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, kulikuwepo falme ya kikristo ya Jerusalem, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

6. Kabla ya the falme ya kikristo ya Jerusalem, kulikuwepo himaya za Umayyad na Fatimid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

7. Kabla ya the himaya za Umayyad na Fatimid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

8. Kabla ya himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya Sassanid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

9. Kabla ya the himaya ya Sassanid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

10. Kabla ya the himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya waroma, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

11. Kabla ya the himaya ya waroma, kulikuwepo tawala ya Hasmonean, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

12. Kabla ya the tawala ya Hasmonean, kulikuwepo himaya ya Seleucid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

13. Kabla himaya ya Seleucid, kulikuwepo himaya ya Alexander wa Mcedonia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

14. Kabla ya the himaya ya Alexander wa Mcedonia, kulikuwepo himaya ya Persia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

15. Kabla ya the himaya ya Persia, kulikuwepo himaya ya Babiloni, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

16. Kabla ya the himaya ya Babiloni, kulikuwepo falme za Israel na Judah, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

17. Kabla ya falme za Israel na Judah, kulikuwepo ufalme wa Israel, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

18. Kabla ya the ufalme wa Israel, ulikuwepo Muungano wa watoto 12 ya Yakobo ambao kila moja alikuwa na eneo lake na kuanzisha kabila lake, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

19. Kabla ya hapo kulikuwa na himaya ya Caanan iliyoanzishwa na Hamu aliekuwa mtoto wa Noah, Yakobo aliishi moja ya eneo ambalo likarithiwa na watoto wake 12 na baadae wakaungana kuwa nchi moja ya Israel,

Kipindi hicho himaya ya Caanan walikuwa ni watu weusi kama ilivyo nchi jirani ya misri kabla ya kukaliwa na waarabu wa sasa
IMG_2647.png
 
Mleta mada ana mhemko wa Kilokole, wala haijui historia. Pale aliposema tu wakati wa utawala wa Uingereza ktk eneo la Palestina ndo kipindi Wayahudi walipelekwa Utumwani Ulaya sikuendelea Tena kusoma Kwa umakini.
 
Ni kweli kuwa hakujawahi kuwa na taifa la Palestina kama nchi huru yenye mipaka yake. Eneo linalofahamika kama "Palestine" kihistoria limekuwa likikaliwa na jamii tofauti-tofauti kutokana na kutawaliwa na falme au madola mengi mbalimbali ya kale.

Wapalestina wa sasa ni Waarabu waliotokana na muingiliano kati ya Wapalestina wa kale na Waarabu wa kale waliohamia kutoka rasi ya Kiarabu (Arabian Peninsula) karne ya 7.
 
Lete proof ya kisayansi, ama kihistoria wapalestina wa Sasa ni waarabu.
 
Hakujawahi kuwa na Taifa la Tanzania kabla ya 1964, Je wangekuja wa Iran Kabla ya mwaka 1964 na kuchukua hili eneo na kusema ni lao sababu mababu zao zaidi ya miaka 1000 iliopita walilinunua je ingekubali wazawa wote waondoke Nchi hii na kupisha wa Iran?
Duh ni sahihi ulichoandika lakini
 
Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa wayahudi ukaitwa Israel ikiwa inajulikana kihistoria. upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio kinachofanya kuwe na vita mpaka leo hii, wapalestina wana kauli mbiu ya "from the river to the sea" ikimaanisha wanaotaka ardhi yote kutoka mto Yordan mpaka kwenye bahari iwe yao na kuwaua wa israel wote asibaki hata moja.

1. Hapo kabla eneo lote la Palestina ya sasa na Israel lilikuwa koloni la Uingereza. ni katika kipindi hiki wisrael waliowahi kupelekwa ulaya kutumikishwa, walianza harakati za kurudi kwenye ardhi yao kwa wingi

2. Kabla ya Uingereza, kulikuwepo Himaya ya Ottoman, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

3. Kabla ya the Himaya ya Ottoman, kulikuwepo Tawala ya kiisalmu ya Mamluk wa Misri, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

4. Kabla ya the Tawala ya kiislam ya Mamluk wa Misri, kulikuwepo himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

5. Kabla ya himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, kulikuwepo falme ya kikristo ya Jerusalem, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

6. Kabla ya the falme ya kikristo ya Jerusalem, kulikuwepo himaya za Umayyad na Fatimid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

7. Kabla ya the himaya za Umayyad na Fatimid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

8. Kabla ya himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya Sassanid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

9. Kabla ya the himaya ya Sassanid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

10. Kabla ya the himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya waroma, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

11. Kabla ya the himaya ya waroma, kulikuwepo tawala ya Hasmonean, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

12. Kabla ya the tawala ya Hasmonean, kulikuwepo himaya ya Seleucid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

13. Kabla himaya ya Seleucid, kulikuwepo himaya ya Alexander wa Mcedonia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

14. Kabla ya the himaya ya Alexander wa Mcedonia, kulikuwepo himaya ya Persia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

15. Kabla ya the himaya ya Persia, kulikuwepo himaya ya Babiloni, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

16. Kabla ya the himaya ya Babiloni, kulikuwepo falme za Israel na Judah, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

17. Kabla ya falme za Israel na Judah, kulikuwepo ufalme wa Israel, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

18. Kabla ya the ufalme wa Israel, ulikuwepo Muungano wa watoto 12 ya Yakobo ambao kila moja alikuwa na eneo lake na kuanzisha kabila lake, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

19. Kabla ya hapo kulikuwa na himaya ya Caanan iliyoanzishwa na Hamu aliekuwa mtoto wa Noah, Yakobo aliishi moja ya eneo ambalo likarithiwa na watoto wake 12 na baadae wakaungana kuwa nchi moja ya Israel,

Kipindi hicho himaya ya Caanan walikuwa ni watu weusi kama ilivyo nchi jirani ya misri kabla ya kukaliwa na waarabu wa sasa
Umetiririsha vzri
 
Back
Top Bottom