Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Tuseme tu ukweli hakujawahi kuwa na tatizo la kazi au ajira, isipokuwa kuna tatizo la kukosekana kwa kazi rahisi , au kazi zenye hadhi tunayotaka ,, kiukweli kazi za kupima matokeo nikazi ngumu kuliko zote wengi tunapenda ile kazi ambayo hata usipofanya hakuna anayeweza kuipima moja kwa moja uende usiende mshahara uwepo na uwe wa uhakika na isiwe based on performance. Je wewe leo ukipewa kazi ya sales and marketing ukaambiwa uchague kati ya fixed salary au commision based ya 20% utachagua nin ,, mshara ukipwe milion mbili au ulipwe 20 ya mapato utakayoingiza utachagua ipi mdau?
Angalizo hapa kuna mada 3 tofauti ukiona huelewi ndio lengo langu
Angalizo hapa kuna mada 3 tofauti ukiona huelewi ndio lengo langu