Hakukuwa na sababu ya Profesa Mkenda kuzungumza aliyoyazungumza hadharani. Kiongozi ni kuwa na Kifua na Uvumilivu

CHAWA 🕷️
 
Ww jamaa kila siku zinavyozidi kwenda nazidi kugundua una njaa kali sana kiasi kwamba unaweza uza hata m@carryo yako ilimradi ule.....hopeless nigger.
 
UKWELI USEMWE TU KWANN KUUIFICHA GIZANI? Pr mkenda yuko sahihi. VP NINYI MACCM? igeni mfano wa chadema. CCM ni mijizi kazi kulindana tu
 
Ww jamaa kila siku zinavyozidi kwenda nazidi kugundua una njaa kali sana kiasi kwamba unaweza uza hata m@carryo yako ilimradi ule.....hopeless nigger.
Mimi ni mkulima na sina njaa kama uliyonayo wewe mpaka muda wote unaongelea habari za chakula tu kama mtoto mdogo.
 
Kabla ya kutoka nje kuzungumza na hadhara wote watakaopewa nafasi ya kuzungumza mbele ya Rais hotuba zote lazma azupitie na wakati mwengine Huwa wanapangiwa vya kuongea kwahyo alichokiongea Prof Mkenda kina baraka zote za Mh Rais kabla hajasema pale
 
Kwani wewe hukumsikia Mwenyewe akisema kuwa hatasoma hotuba aliyoandikiwa na kuandaliwa kwa sababu ni ndefu? Wewe hukuona akiongea maneno yake kutoka kichwani na kukosa mtiririko unaoeleweka? Wewe unafikiri kwanini ilifika wakati mpaka anatumiwa karatasi kuwa asome hotuba? Huoni ilikuwa imeonyesha wazi kuwa anaongea vitu bila muunganiko wala mpangilio?
 
Hayo yote uliyoyaandika ndiyo uyafanyayo kwa huyo mama yako "Mama Mitano Tena".
Hebu jiweke kwenye kujiuliza kama unavyomuuliza huyo mchangiaji.
Rais sio Mungu.
Rais sio Mtakatifu.
Rais hana akili nyingi kupita raia wote nchini.
Rais sio Alfa na Omega.
Rais si malaika.

Hebu tuelezee, wewe mbona umemfanya Rais kinyume na ulivyoandika!!??
 
Ukweli analazimisha tu kugombea uraisi. Hakubaliki kabisa. Na ndiyo maana anajihami kuliko, anadhani kila mtu ni adui yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…