Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Muulize mkenda, alafu umuulize kama inawezekana kwanini anatudanganya watanzania.Unafikiri waziri hawezi kumpigia simu Mheshimiwa Rais na simu ikapokelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize mkenda, alafu umuulize kama inawezekana kwanini anatudanganya watanzania.Unafikiri waziri hawezi kumpigia simu Mheshimiwa Rais na simu ikapokelewa?
Embu nijibu kuwa unafikiri Waziri anaweza kushindwa kumpigia Simu RAIS ? Unakumbuka hotuba ya RAIS ambayo alisema namna anavyopogiwa simu na Mheshimiwa waziri wa Fedha kuelezwa masuala mbalimbali ya wizara?Muulize mkenda, alafu umuulize kama inawezekana kwanini anatudanganya watanzania.
wewe ni kiongozi wa ngazi ganiUmewahi kuwa kiongozi wa ngazi yoyote ile?
Jikite kwenye hoja tu.wewe ni kiongozi wa ngazi gani
utapandwa wewe umbwaJikite kwenye hoja tu.
Naona umepaniki kama ilivyo kawaida kwa mtu asiye na akili kichwani umedhihirisha ujinga wako ulio kujaa kichwani.utapandwa wewe umbwa
shauri yako chawa sugu
Vijana wa lissu hawa. Matusi kama haya alipigwa mbowe. Bavicha shamba la matusiMtoto wa kiume unakuwa chawa kwa mwanamke kisa ni Rais, si hata akipigwa mashine utamuonea huruma utatamani upigwe wewe?
Hatuna RaisNdugu zangu Watanzania,
Sote tumeyasikia maneno na kauli za Waziri wa Elimu Mheshimiwa Profesa Adolph Mkenda akilalamika kuwa alizungushwa kupata nafasi ya kuonana na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Mimi Mwashambwa nimejiuliza maswali ya je kulikuwa na sababu zipi za kuyaongea hayo masuala hadharani? Yalikuwa na umuhimu upi na sababu zipi? Alishindwa nini kuyaongea faragha alipopata nafasi ya kuongea na kuonana na Mheshimiwa Rais?
Je waziri hana njia nyingine za kuwasiliana na kufikisha ujumbe wake kwa Rais? Je waziri hawezi kuwasilisha jambo hilo kwenye kikao cha Baraza la mawaziri na kutoa dukuduku lake na kero yake ili mambo yazungumzwe na kuonyana humo humo badala ya kuleta hadharani?
Pia soma:Tutafakari pamoja: Waziri Mkenda anaposema wasaidizi wa Rais waliweka kauzibe asimwone mkuu wa nchi, hadhi ya Waziri ipoje kwani?
Waziri wa Elimu ndugu Mkenda katika hotuba yake ya uzinduzi wa Mtaala mpya wa elimu ametoa kali ya mwaka pale aliposema kuwa Yeye na timu ya wataalam walipata ugumu kuonana na Rais ili wampatie briefing ya yaliyomo kwenye mtaala mpya. Nimezalisha maswali kadhaa ya tafakuri hapa.... Waziri...www.jamiiforums.com
Juu ya Waziri Wa Elimu kuna Naibu Waziri Mkuu, Waziri Mkuu ,Makamu wa Rais kabla ya kumfikia Rais Mwenyewe. Sasa kwanini asingemtumia hata mmoja wapo kati ya hao kupeleka jambo lake na kero yake hiyo?
Hata alipopelekewa kikaratasi mezani kwake kwanini na kulikuwa na sababu gani ya kujibu kwa jeuri kuwa yale aliyokuwa anayaongea yalikuwa ni Sehemu ya hotuba yake? Kwanini alikuwa anaonyesha kana kwamba yupo kwenye mgogoro na wasaidizi wa Rais na sasa anataka kuwachongea na kutunishiana misuli hadharani? Yalikuwa na sababu gani hadi ya kusema kuwa tuliambiwa tuongee kwa saa mbili tu?
Kwanini Waziri ambaye ni Profesa kabisa anakosa kifua na uvumilivu pamoja na subira ya mambo madogo kama hayo? Kama jambo dogo kama hilo linamshinda kuvumilia na kukaa kimya bila kuonyesha hasira zake hadharani,anaweza vipi vumilia mambo makubwa na kukaa nayo mpaka anaingia kaburini? Unapokuwa kiongozi mkubwa ni pamoja na kubeba maumivu na kutunza siri kwa gharama kubwa na Maumivu.
Hivi kama Rais Samia Mama yetu kipenzi asingekuwa na kifua na uvumilivu na kuamua kuzungumza kila kitu hadharani. Unafikiri angezungumza mangapi mazito baada ya kuapishwa kwake kuwa Rais? Au mmesahau ni nini Mkuu wa Majeshi wetu mstaafu Mheshimiwa Jenerali Venance Mabeyo alichokisema na kilichotokea baada ya kifo cha Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli?
Mmesahau Kauli ya Jenerali Mabeyo kuwa kuna watu walisahau katiba inasema nini na kwamba akawakumbusha Matakwa ya Katiba mara baada ya kufa kwa Rais? Hivi mnaichukuliaje kauli hiyo? Mnaelewa Maana yake? Mnataka niwafungulie mabano ili muelewe?
Je mnafikiri watu hao waliosahau matakwa ya katiba Hawapo hai? Mnafikiri hawapo Tanzania? Mnafikiri hawapo serikalini?? Mnafikiri Mama yetu Mpendwa hawafahamu? Mnafikiri Mama yetu kipenzi hafahamu kilichotokea baada ya kifo cha Hayati? Au mnafikiri amekaa kimya kwa sababu hajui kitu?
Jibu ni kuwa anafahamu kila kitu na ameamua kukaa kimya na kuendelea na kazi kwa sababu anajua maana ya uongozi. anajua maana ya kutunza siri. Anajua Ukubwa ni jalala. Anajua jambo gani linapaswa kuzungumzwa hadharani na lipi halipaswi kuzungumzwa hadharani. Anajua kuna mambo yanapaswa kukaa kifuani na kubakia kama siri mpaka Kifo.
Na huo ndio uongozi. Ndio Ukubwa.Ndio uongozi unavyotaka hivyo kwa kiongozi wa juu kuwa na kifua ,kutunza siri,kuwa na subira, uvumilivu na kujizuia kuongea vitu kwa msukumo wa hasira,jazba, mihemuko na kukurupuka. Kama Rais Samia angetaka kuongea kila kitu hadharani basi Nchi ingesimama. Nasema tena kuwa NCHI ingesimama hii.
Viongozi wetu jifunzeni kuwa na siri,vifua, uvumilivu na subira. Tumieni busara na hekima katika kuzungumza hadharani na chagueni maneno ya kuzungumza mbele ya hadhira. Na ikiwezekana someni hotuba mlizoandaliwa kuliko kutumia hisia bila mantiki kuzungumza na kujikuta mkiharibu na kuleta taswira mbaya kwa jamii .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uwe na adabu na uache kuropoka ropoka hapa kama toto lililokosa malezi ya wazazi wake.Hatuna Rais
Katibu wa rais analalamikiwa na watu wengi tu, si kwenye hili la Mkenda tu.Siyo kweli na acha upotoshaji wako hapa wa kusema katibu wa Rais anamtenga na kumuweka mbali Mheshimiwa Rais na Mawaziri wake.
Wewe ni choko mwenye njaa na tamaa nyie ndo mnaofirwa kirahisi kisa mpate teuzi za chama sijui mzaliwa wa wapi hizi kwenu hakuna wanaume wakufunze uvumilivu?Uwe na adabu na uache kuropoka ropoka hapa kama toto lililokosa malezi ya wazazi wake.
Wapo wapi huko?Huyo Mama angekuwa na uvumilivu, Mzee Kibao na kina Soka wangekuwa huko waliko leo hii?
Acha ujinga!!
Siwezi kukujibu am just a citizen kijana, and you being a teacher huwezi kuelewa hata ishu za madiwani zikoje, kaa kimya siku ukiteuliwa msemaji wa serikali au CCM popoma unavyofanya sasa.Embu nijibu kuwa unafikiri Waziri anaweza kushindwa kumpigia Simu RAIS ? Unakumbuka hotuba ya RAIS ambayo alisema namna anavyopogiwa simu na Mheshimiwa waziri wa Fedha kuelezwa masuala mbalimbali ya wizara?
Kwa hiyo wewe unataka utoke zako huko kolomijo na kwenda kuonana na Rais moja kwa moja Utafikiri unaingia sokoni? Kwani huko uliko hakuna viongozi? Umepita huko na ikashindakana kusaidiwa? Itakuwaje watanzania zaidi ya million 60 tukitaka kwenda Wote Ikulu kupeleka shida zetu na kuonana na Rais?Kama waziri anazungushwa kumuona raisi,Je,kwa mwananchi wa kawaida aliyetokea huko Kolomije itakuwaje?!!!Hii nchi ni ya ajabu sana!!!