Hakukuwa na sababu ya Profesa Mkenda kuzungumza aliyoyazungumza hadharani. Kiongozi ni kuwa na Kifua na Uvumilivu

Acha ushamba, wewe una akili kuliko Profesa Mkenda?.
 
Kati ya wewe na Prof nani anaakili?
Mama kamteua awe wazir sababu kaona anafaa,chawa kama kawaida yako unakuja na hoja ndeeefu isiyo na maana, very stupid!
 
Lucas Mwashambwa utaendelea kutukanwa na kutweza humu mitandaoni kwa maandiko yako ya siyo kuwa na mashiko wa la tija.

Alafu kwa member ambaye data zako ziko wazi kabisa mpaka namba zako za simu kwanini unakuwaga unaleta maandiko ya kitoto na ya kijinga kama hili?

Yaani hapa unajifanya kumsuta Prof Mkenda na huku unatoa maneno ya shombo yasiyokuwa na utu. Hivi wewe kweli kwa hili andiko lako umesaidia nini sasa? Au ndio unajifanya unajua mambo yanayofanywa na EXCUTIVE? Punguza aisee.

Unamsuta Prof. Mkenda halafu unakuja tena unamsifia Rais. Samia na Kulikuwa kuna haja gani ya kumsuta Mkenda na hapo hapo unamuingiza na Rais Samia kwenye huu uzi.

Unavyomtukuza na kumsifia Rais Samia hata Mungu aliyekuumba na akakupa utashi, akili na utambuzi huwa haumshukuru na kumsifia kama unavyofanya kwa Rais Samia ambaye ni binadamu kama Wewe.
 
Hoja ni yako mjibu kwa hekima na busara usipaniki.
Mimi huwa sipaniki Mimi sijamsuta wala sipo hapa kumsuta Mheshimiwa Waziri bali nimeongea ukweli hata kama ukweli huo ni mchungu kwako
 
Upumbavu hauvumiliwi. Pia ni fundisho kwa Waziri Rajabu bwana Mapete na timu yake
 
Kati ya wewe na Prof nani anaakili?
Mama kamteua awe wazir sababu kaona anafaa,chawa kama kawaida yako unakuja na hoja ndeeefu isiyo na maana, very stupid!
Ungejikita kwenye hoja ungekuwa umefanya jambo jema sana.
 
Paragraph moja ilitosha naona umerudiarudia maelezo

Mkenda sio mjinga kuamua kusema hali anazopitia kwenye uongozi. Huenda hata lengo si kumfikishia ujumbe number moja bali umma wa watanzania. Kaamua liwalo na liwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…