Hakukuwa na sababu ya Profesa Mkenda kuzungumza aliyoyazungumza hadharani. Kiongozi ni kuwa na Kifua na Uvumilivu

Kwani akiwa waziri anapoteza hisia na maumivu akitendewa mabaya?
Au ni mwiko kwa mwana ccm kukisema vibaya hilo genge lenu?
Ukiwa kiongozi wa ngazi ya juu kama vile Waziri haupaswi kufanya mambo na maamuzi kwa hisia.
 
Paragraph moja ilitosha naona umerudiarudia maelezo

Mkenda sio mjinga kuamua kusema hali anazopitia kwenye uongozi. Huenda hata lengo si kumfikishia ujumbe number moja bali umma wa watanzania. Kaamua liwalo na liwe.
Andiko langu limeeleza kwa kina maana ya kuwa kiongozi. Nafikiri hata waziri Mwenyewe atajutia na amejutia kauli yake na kutambua makosa yake.
 
Wee nae upo kama shoga angalia mabasha wa ccm wasije wakakutia ukuni wa Kwa mpalange, maana naona ndo unakoelekea Sasa, uchawa Gani huo unafanya uchawa mpaka unavuka mipaka, wewe marinda yako rehani chunga sana.
 
Embu acha maneno ya kihuni huni. Jikite kwenye hoja au waachie wenye akili Timamu wajadili hoja
 
Prof amefanya vyema..amevumilia mengi.. ameamua kujitibu kwa kusema ukweli hadharani.. ila hakuwataja wahusika (upungufu kwenye hotuba yake)..
 
Acha ushamba, wewe una akili kuliko Profesa Mkenda?.
Kwani wewe unajua ukubwa wa akili zangu upoje? Au wewe mtu akiwa waziri unafikiria anakuwa tayari na akili nyingi kuliko watanzania wote hapa Nchini?
 
Prof amefanya vyema..amevumilia mengi.. ameamua kujitibu kwa kusema ukweli hadharani.. ila hakuwataja wahusika (upungufu kwenye hotuba yake)..
Aliyoyafanya hayapaswi kufanywa na kiongozi wa ngazi yake
 
Andiko langu limeeleza kwa kina maana ya kuwa kiongozi. Nafikiri hata waziri Mwenyewe atajutia na amejutia kauli yake na kutambua makosa yake.
Kuwa mtu mzima, msomi na kiongozi haiondoi ubinadamu wake wa kawaida mkuu.
 
Mmesahau Kauli ya Jenerali Mabeyo kuwa kuna watu walisahau katiba inasema nini na kwamba akawakumbusha Matakwa ya Katiba mara baada ya kufa kwa Rais? Hivi mnaichukuliaje kauli hiyo? Mnaelewa Maana yake? Mnataka niwafungulie mabano ili muelewe?
Hivi hawa watu walikuwa akina nani? Mimi huwa nasikia fununu tu wakiwa wanamsingizia MUNGAI, lakini hadi leo sijwahi kuwafahamu kabisa
 
Aliyoyafanya hayapaswi kufanywa na kiongozi wa ngazi yake
Angekuwa kama bi mkubwa..'na haya mkayatazame'..Hapana,sio kwenye jambo la elimu. Prof yuko sahihi.. elimu yetu haimsaidii mhitimu kupambana na maisha/ hakuna ubunifu..ni kukariri tu..
 
Kuna mambo ya kuficha na mambo ya kuongea wazi wazi. Kama waziri amekosewa sana, protocol haikufuatwa. Nani ans mandate ya kumzuia waziri kuzungumza na raisi?🤔 Ni jambo la ajabu sana kuwahi kutokea.

Inaonekana huko ikulu hivi sasa kuna watu wa hovyo sana ambao hawakutakiwa hata kuwa wasimamizi wa vyoo vya stand.
 
Paragraph moja ilitosha naona umerudiarudia maelezo

Mkenda sio mjinga kuamua kusema hali anazopitia kwenye uongozi. Huenda hata lengo si kumfikishia ujumbe number moja bali umma wa watanzania. Kaamua liwalo na liwe.
Nimekuwa nasisitiza hili hapa mara kadhaa lakini mtoa maada kajitoa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…