Hakukuwa na sababu ya Profesa Mkenda kuzungumza aliyoyazungumza hadharani. Kiongozi ni kuwa na Kifua na Uvumilivu

Kwani amelazimishwa kuendelea kuwa waziri? Mbona Makamu wa Rais ameomba kupumzika baada ya kumalizika awamu hii. Sasa kama waziri amechoka kwanini asiombe kukaa pembeni ili waingie wengine
Wenye chama chao na serikali wako kimya wewe ni nani hata ubwabwaje hapa? ficha ujinga wako.
 
Vipi kama lengo mojawapo ni hilo ila anapigwa pending kuonana na Rais na hao aliowasema? Unataka atoroke ofisi bila kufuata utaratibu? Wewe unaona jambo la kuomba kujiuzuru mwaka wa uchaguzi ni jepesi?
Kwani wewe hujasikia lengo la kutaka kuonana na Rais? Au hujaisikiliza hotuba na maneno yake?
 
Wasaidizi wake wameshindwa kutambua nafasi ya waziri, alafu unataka azungumze faragha ipi.
 
Kwani wewe unafikiri ameyasema tu bila ridhaa ya mtu fulani mkubwa? Wakati akiyasema hayo hukumuona huyo mtu fulani mkubwa kama anatoa tabasamu bashasha? We ni bumunda tu. Hata siasa zenu za CCM huzijui
 
Una nafasi gani ya kumhoji Waziri.
Kwani kwa uelewa wako na akili yako timamu kama unazo unafikiria mamlaka ya serikali yanatoka kwa nani? Unafikiri serikali inamtumikia nani na imewekwa na nani madarakani?
 
Wasaidizi wake wameshindwa kutambua nafasi ya waziri, alafu unataka azungumze faragha ipi.
Unakumbuka Rais amewahi kueleza namna Waziri wa Fedha alivyokuwa akimpigia simu hadi Usiku? Hapo unapata somo gani? Huoni kuwa waziri anaweza na anayo nafasi ya kumpigia Simu Rais?
 

Nini maoni yako?👆
 
Kwaio tufiche ugonjwa ?
 
Unakumbuka Rais amewahi kueleza namna Waziri wa Fedha alivyokuwa akimpigia simu hadi Usiku? Hapo unapata somo gani? Huoni kuwa waziri anaweza na anayo nafasi ya kumpigia Simu Rais?
Kuna haja gani ya kumpigia simu na ninataka kuonana naye kwenye ofisi, je kama simpati hewani na ninajua yupo ofisini.
 
Evidently Mkenda hakuweza mpaka kafikia kumshitaki rais kwa wananchi.

Hujui kusoma kwa ufahamu au una matatizo ya kuelewa?
Huyo kapuku na elimu yake ya MEMKWA ni vigumu kupambanua mambo uwezo wa akili yake unaishia kumsifia Samia tu kwa matumaini ya kuteuliwa.
 
Kuna haja gani ya kumpigia simu na ninataka kuonana naye kwenye ofisi, je kama simpati hewani na ninajua yupo ofisini.
Nani alikwambia kuwa hapatikani hewani. Kwani kila siku na muda wote atakuwa hewani? Je huko kuonana naye ndio amekwambia kuwa muda wote atakuwa yupo amekaa tu anakusubiri wewe tu? Hujui ni Rais wa watanzania wote millioni 67 na anawasikiliza wote na kuwatazama wote kwa macho yake hayo hayo kama iliyonayo wewe japo wewe unaweza kuwa unaona lakini huelewi.
 
Mawaziri wote ni sawa na wana hadhi sawa na wanaweza kuwasiliana na Rais wakati wowote ule.
Hawana hadhi sawa kwa Samia.Samia yeye anamuweka karibu waziri wa maokoto . Anazingatia maokoto tu. Hadhi ya maokoto ni kubwa kuliko hadhi ya elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…