Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #161
Elimu yangu ni kubwa sana ambayo nikikupa ubebe hata vyetu vyangu utaishia kudondoshwa chini na uzito wake kama Mlevi wa gongo.Huyo kapuku na elimu yake ya MEMKWA ni vigumu kupambanua mambo uwezo wa akili yake unaishia kumsifia Samia tu kwa matumaini ya kuteuliwa.
Mbona unataka sana kujifedhehesha wewe kapuku? Jitahidi watu wasijue kuwa huna akili kwa kiwango hiki. Aibu kubwa hii ephen_Nani alikwambia kuwa hapatikani hewani. Kwani kila siku na muda wote atakuwa hewani? Je huko kuonana naye ndio amekwambia kuwa muda wote atakuwa yupo amekaa tu anakusubiri wewe tu? Hujui ni Rais wa watanzania wote millioni 67 na anawasikiliza wote na kuwatazama wote kwa macho yake hayo hayo kama iliyonayo wewe japo wewe unaweza kuwa unaona lakini huelewi.
Ugonjwa upi?Kwaio tufiche ugonjwa ?
Nyani haoni kundule, vipi siku hizi mambo yenu ya kichama na vikao vyenu vyote pamoja na taratibu zenu za kiitifaki mmekubaliana kwamba sehemu sahihi ya kurekebishana ni kwenye jukwaa la Jamii Forums?Ndugu zangu Watanzania,
Sote tumeyasikia maneno na kauli za Waziri wa Elimu Mheshimiwa Profesa Adolph Mkenda akilalamika kuwa alizungushwa kupata nafasi ya kuonana na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Mimi Mwashambwa nimejiuliza maswali ya je kulikuwa na sababu zipi za kuyaongea hayo masuala hadharani? Yalikuwa na umuhimu upi na sababu zipi? Alishindwa nini kuyaongea faragha alipopata nafasi ya kuongea na kuonana na Mheshimiwa Rais?
Je waziri hana njia nyingine za kuwasiliana na kufikisha ujumbe wake kwa Rais? Je waziri hawezi kuwasilisha jambo hilo kwenye kikao cha Baraza la mawaziri na kutoa dukuduku lake na kero yake ili mambo yazungumzwe na kuonyana humo humo badala ya kuleta hadharani?
Pia soma:Tutafakari pamoja: Waziri Mkenda anaposema wasaidizi wa Rais waliweka kauzibe asimwone mkuu wa nchi, hadhi ya Waziri ipoje kwani?
Waziri wa Elimu ndugu Mkenda katika hotuba yake ya uzinduzi wa Mtaala mpya wa elimu ametoa kali ya mwaka pale aliposema kuwa Yeye na timu ya wataalam walipata ugumu kuonana na Rais ili wampatie briefing ya yaliyomo kwenye mtaala mpya. Nimezalisha maswali kadhaa ya tafakuri hapa.... Waziri...www.jamiiforums.com
Juu ya Waziri Wa Elimu kuna Naibu Waziri Mkuu, Waziri Mkuu ,Makamu wa Rais kabla ya kumfikia Rais Mwenyewe. Sasa kwanini asingemtumia hata mmoja wapo kati ya hao kupeleka jambo lake na kero yake hiyo?
Hata alipopelekewa kikaratasi mezani kwake kwanini na kulikuwa na sababu gani ya kujibu kwa jeuri kuwa yale aliyokuwa anayaongea yalikuwa ni Sehemu ya hotuba yake? Kwanini alikuwa anaonyesha kana kwamba yupo kwenye mgogoro na wasaidizi wa Rais na sasa anataka kuwachongea na kutunishiana misuli hadharani? Yalikuwa na sababu gani hadi ya kusema kuwa tuliambiwa tuongee kwa saa mbili tu?
Kwanini Waziri ambaye ni Profesa kabisa anakosa kifua na uvumilivu pamoja na subira ya mambo madogo kama hayo? Kama jambo dogo kama hilo linamshinda kuvumilia na kukaa kimya bila kuonyesha hasira zake hadharani,anaweza vipi vumilia mambo makubwa na kukaa nayo mpaka anaingia kaburini? Unapokuwa kiongozi mkubwa ni pamoja na kubeba maumivu na kutunza siri kwa gharama kubwa na Maumivu.
Hivi kama Rais Samia Mama yetu kipenzi asingekuwa na kifua na uvumilivu na kuamua kuzungumza kila kitu hadharani. Unafikiri angezungumza mangapi mazito baada ya kuapishwa kwake kuwa Rais? Au mmesahau ni nini Mkuu wa Majeshi wetu mstaafu Mheshimiwa Jenerali Venance Mabeyo alichokisema na kilichotokea baada ya kifo cha Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli?
Mmesahau Kauli ya Jenerali Mabeyo kuwa kuna watu walisahau katiba inasema nini na kwamba akawakumbusha Matakwa ya Katiba mara baada ya kufa kwa Rais? Hivi mnaichukuliaje kauli hiyo? Mnaelewa Maana yake? Mnataka niwafungulie mabano ili muelewe?
Je mnafikiri watu hao waliosahau matakwa ya katiba Hawapo hai? Mnafikiri hawapo Tanzania? Mnafikiri hawapo serikalini?? Mnafikiri Mama yetu Mpendwa hawafahamu? Mnafikiri Mama yetu kipenzi hafahamu kilichotokea baada ya kifo cha Hayati? Au mnafikiri amekaa kimya kwa sababu hajui kitu?
Jibu ni kuwa anafahamu kila kitu na ameamua kukaa kimya na kuendelea na kazi kwa sababu anajua maana ya uongozi. anajua maana ya kutunza siri. Anajua Ukubwa ni jalala. Anajua jambo gani linapaswa kuzungumzwa hadharani na lipi halipaswi kuzungumzwa hadharani. Anajua kuna mambo yanapaswa kukaa kifuani na kubakia kama siri mpaka Kifo.
Na huo ndio uongozi. Ndio Ukubwa.Ndio uongozi unavyotaka hivyo kwa kiongozi wa juu kuwa na kifua ,kutunza siri,kuwa na subira, uvumilivu na kujizuia kuongea vitu kwa msukumo wa hasira,jazba, mihemuko na kukurupuka. Kama Rais Samia angetaka kuongea kila kitu hadharani basi Nchi ingesimama. Nasema tena kuwa NCHI ingesimama hii.
Viongozi wetu jifunzeni kuwa na siri,vifua, uvumilivu na subira. Tumieni busara na hekima katika kuzungumza hadharani na chagueni maneno ya kuzungumza mbele ya hadhira. Na ikiwezekana someni hotuba mlizoandaliwa kuliko kutumia hisia bila mantiki kuzungumza na kujikuta mkiharibu na kuleta taswira mbaya kwa jamii .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas Mwashambwa the headless chicken is here again! CCM mmezoea kufichaficha vitu wagonjwa nyie!Ndugu zangu Watanzania,

Elimu hupimwa kwa uwezo wa akili siyo makaratasi wewe kapuku unavyojaza maandishi yako yasiyo na maudhui ndiyo unajichoresha. Elimu yako itapimwa kwa kazi zako,sasa kweli huu uchawa unaofanya ndivyo wasomi wafanyavyo? Chawa chawa chawa.Elimu yangu ni kubwa sana ambayo nikikupa ubebe hata vyetu vyangu utaishia kudondoshwa chini na uzito wake kama Mlevi wa gongo.
Nikiwa chawa wewe utakuwa nani sasa?Elimu hupimwa kwa uwezo wa akili siyo makaratasi wewe kapuku unavyojaza maandishi yako yasiyo na maudhui ndiyo unajichoresha. Elimu yako itapimwa kwa kazi zako,sasa kweli huu uchawa unaofanya ndivyo wasomi wafanyavyo? Chawa chawa chawa.
Anasema alizuiliwa kuonana naye, angelezwa sababu ya msingi huenda asingekuwa na MASWALI mengi. Hadi anasema hadharani ujue aliona hujuma.Nani alikwambia kuwa hapatikani hewani. Kwani kila siku na muda wote atakuwa hewani? Je huko kuonana naye ndio amekwambia kuwa muda wote atakuwa yupo amekaa tu anakusubiri wewe tu? Hujui ni Rais wa watanzania wote millioni 67 na anawasikiliza wote na kuwatazama wote kwa macho yake hayo hayo kama iliyonayo wewe japo wewe unaweza kuwa unaona lakini huelewi.
Ndiyo hivyo kuna watu wanaishi maisha bora kuliko wewe kutokana na ubunifu wangu kama huu ni uchizi basi ni uchizi bora wa karne hii,wewe sasa na uchawa wako ndiyo ubunifu wako huo,pumbavu kabisa.Naona unajishaua sana kwa ephen mpaka kujibaraguzi kwamba una kampuni. Utafikiri umewahi kuona kampuni inaongozwa na chizi.
Mimi ni Kuhani Mkuu.Nikiwa chawa wewe utakuwa nani sasa?
Huyu akipelekwa Mirembe, haki ya nani harudi lazima alazwe!!Ingekuwa kuna mashine ya kupimia ukichaa Luka unahisi kati yako na jamaa yupi ingesoma ?
Unaelewa maana ya kampuni? Au ukiokota Makopo jalalani kwa uchizi wako na kusafiri nayo umbali mrefu kisha kurudi nayo pale pale ndio unaita kampuni hiyo?Ndiyo hivyo kuna watu wanaishi maisha bora kuliko wewe kutokana na ubunifu wangu kama huu ni uchizi basi ni uchizi bora wa karne hii,wewe sasa na uchawa wako ndiyo ubunifu wako huo,pumbavu kabisa.
Kama hujui hata definition ya kampuni huko shule ulienda kusomea ujinga.Unaelewa maana ya kampuni? Au ukiokota Makopo jalalani kwa uchizi wako na kusafiri nayo umbali mrefu kisha kurudi nayo pale pale ndio unaita kampuni hiyo?
Nimekuuliza unajua maana ya Kampuni?Kama hujui hata definition ya kampuni huko shule ulienda kusomea ujinga.
Sijibu maswali ya kipumbavu toka kwa mpumbavu na kapuku kama wewe. Sanana njo inbox nikupe location ya ilipo ofisi yangu uje uone kwa macho. Pimbi wewe.Nimekuuliza unajua maana ya Kampuni?
Ndugu zangu Watanzania,
Sote tumeyasikia maneno na kauli za Waziri wa Elimu Mheshimiwa Profesa Adolph Mkenda akilalamika kuwa alizungushwa kupata nafasi ya kuonana na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Mimi Mwashambwa nimejiuliza maswali ya je kulikuwa na sababu zipi za kuyaongea hayo masuala hadharani? Yalikuwa na umuhimu upi na sababu zipi? Alishindwa nini kuyaongea faragha alipopata nafasi ya kuongea na kuonana na Mheshimiwa Rais?
Je waziri hana njia nyingine za kuwasiliana na kufikisha ujumbe wake kwa Rais? Je waziri hawezi kuwasilisha jambo hilo kwenye kikao cha Baraza la mawaziri na kutoa dukuduku lake na kero yake ili mambo yazungumzwe na kuonyana humo humo badala ya kuleta hadharani?
Pia soma:Tutafakari pamoja: Waziri Mkenda anaposema wasaidizi wa Rais waliweka kauzibe asimwone mkuu wa nchi, hadhi ya Waziri ipoje kwani?
Waziri wa Elimu ndugu Mkenda katika hotuba yake ya uzinduzi wa Mtaala mpya wa elimu ametoa kali ya mwaka pale aliposema kuwa Yeye na timu ya wataalam walipata ugumu kuonana na Rais ili wampatie briefing ya yaliyomo kwenye mtaala mpya. Nimezalisha maswali kadhaa ya tafakuri hapa.... Waziri...www.jamiiforums.com
Juu ya Waziri Wa Elimu kuna Naibu Waziri Mkuu, Waziri Mkuu ,Makamu wa Rais kabla ya kumfikia Rais Mwenyewe. Sasa kwanini asingemtumia hata mmoja wapo kati ya hao kupeleka jambo lake na kero yake hiyo?
Hata alipopelekewa kikaratasi mezani kwake kwanini na kulikuwa na sababu gani ya kujibu kwa jeuri kuwa yale aliyokuwa anayaongea yalikuwa ni Sehemu ya hotuba yake? Kwanini alikuwa anaonyesha kana kwamba yupo kwenye mgogoro na wasaidizi wa Rais na sasa anataka kuwachongea na kutunishiana misuli hadharani? Yalikuwa na sababu gani hadi ya kusema kuwa tuliambiwa tuongee kwa saa mbili tu?
Kwanini Waziri ambaye ni Profesa kabisa anakosa kifua na uvumilivu pamoja na subira ya mambo madogo kama hayo? Kama jambo dogo kama hilo linamshinda kuvumilia na kukaa kimya bila kuonyesha hasira zake hadharani,anaweza vipi vumilia mambo makubwa na kukaa nayo mpaka anaingia kaburini? Unapokuwa kiongozi mkubwa ni pamoja na kubeba maumivu na kutunza siri kwa gharama kubwa na Maumivu.
Hivi kama Rais Samia Mama yetu kipenzi asingekuwa na kifua na uvumilivu na kuamua kuzungumza kila kitu hadharani. Unafikiri angezungumza mangapi mazito baada ya kuapishwa kwake kuwa Rais? Au mmesahau ni nini Mkuu wa Majeshi wetu mstaafu Mheshimiwa Jenerali Venance Mabeyo alichokisema na kilichotokea baada ya kifo cha Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli?
Mmesahau Kauli ya Jenerali Mabeyo kuwa kuna watu walisahau katiba inasema nini na kwamba akawakumbusha Matakwa ya Katiba mara baada ya kufa kwa Rais? Hivi mnaichukuliaje kauli hiyo? Mnaelewa Maana yake? Mnataka niwafungulie mabano ili muelewe?
Je mnafikiri watu hao waliosahau matakwa ya katiba Hawapo hai? Mnafikiri hawapo Tanzania? Mnafikiri hawapo serikalini?? Mnafikiri Mama yetu Mpendwa hawafahamu? Mnafikiri Mama yetu kipenzi hafahamu kilichotokea baada ya kifo cha Hayati? Au mnafikiri amekaa kimya kwa sababu hajui kitu?
Jibu ni kuwa anafahamu kila kitu na ameamua kukaa kimya na kuendelea na kazi kwa sababu anajua maana ya uongozi. anajua maana ya kutunza siri. Anajua Ukubwa ni jalala. Anajua jambo gani linapaswa kuzungumzwa hadharani na lipi halipaswi kuzungumzwa hadharani. Anajua kuna mambo yanapaswa kukaa kifuani na kubakia kama siri mpaka Kifo.
Na huo ndio uongozi. Ndio Ukubwa.Ndio uongozi unavyotaka hivyo kwa kiongozi wa juu kuwa na kifua ,kutunza siri,kuwa na subira, uvumilivu na kujizuia kuongea vitu kwa msukumo wa hasira,jazba, mihemuko na kukurupuka. Kama Rais Samia angetaka kuongea kila kitu hadharani basi Nchi ingesimama. Nasema tena kuwa NCHI ingesimama hii.
Viongozi wetu jifunzeni kuwa na siri,vifua, uvumilivu na subira. Tumieni busara na hekima katika kuzungumza hadharani na chagueni maneno ya kuzungumza mbele ya hadhira. Na ikiwezekana someni hotuba mlizoandaliwa kuliko kutumia hisia bila mantiki kuzungumza na kujikuta mkiharibu na kuleta taswira mbaya kwa jamii .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Najua huna uwezo wa kujibu hoja zangu.Sijibu maswali ya kipumbavu toka kwa mpumbavu na kapuku kama wewe. Sanana njo inbox nikupe location ya ilipo ofisi yangu uje uone kwa macho. Pimbi wewe.