Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

Salama madam, nipeni siri wakuu. Nataka nyota ya huyu mwamba kidogo tu nisafishe yangu🤣🤣
Mwambaa huyoo hapoo mwambie akupe siriii wa vipajiiii🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🤣!! Kumbe ana hadi chata yake humuu na hamsemi nyieeee🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🤠🤠!!
Nasemaaaajeeeeee nasemajee jf sihamiiiiii 🕺🕺🕺
 
Nawewe uache chata kadhaaa kama kina chizi maarifa na trudie sio??? Kwa sauti ya Rioh sio mimii [emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1787]!!
Hahahahaa wee mwanangu sio wa chizi maarifa, baba yake yupo kwenye thread ya road trip na sports kule ndio mada zake sio mbea kila siku anaanzisha mada za mademu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom