Daz911
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 742
- 1,238
Lamama kumbe ulikuwa karibu, ukaona uje mbiombiowacha weee 💃💃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lamama kumbe ulikuwa karibu, ukaona uje mbiombiowacha weee 💃💃
Huyu mwamba nitembelee nyota yake for a month tu, kama kweli hizo bakora alizitembeza na kukubalika namna hiyo...hatari aisee!!Nna matumaini utakuwa umepata mwongozo[emoji16]
🤣🤣🤣🤠🤠🤠🤠Mkuu naomba nyota yako nitembelee japo mwezi huu🤣🤣🤣
Au mambo yao tuwaachie wenyewe?🤣🤣
Tena nimejikwaa na kujikwaa hapa...naachaje kuwepo kwa mfano 😃😃Lamama kumbe ulikuwa karibu, ukaona uje mbiombio
nadhani amekusikiaHuyu mwamba nitembelee nyota yake for a month tu, kama kweli hizo bakora alizitembeza na kukubalika namna hiyo...hatari aisee!!
Mimi nitakuja PM unitonyee ukwerii huo halafu omba kadi ya harusi najua hutaki upitwe kwa shem wetu hapo kwa Daz911 ukale pirauNipo shosti nimeamka na ubuyu wa moto huku watu wanasasambua ya mafichoni [emoji23][emoji23][emoji23]
Niambie uko powa?
Pole chibebe, pita ndaniTena nimejikwaa na kujikwaa hapa...naachaje kuwepo kwa mfano 😃😃
Salama madam, nipeni siri wakuu. Nataka nyota ya huyu mwamba kidogo tu nisafishe yangu🤣🤣🤣🤣🤣🤠🤠🤠🤠
Wa vipajii 😂😂😂😂😂😂!!
Samalekooooo🤚😁
Muone 😂😂😂😂🙌Pole chibebe, pita ndani
Mwambaa huyoo hapoo mwambie akupe siriii wa vipajiiii🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🤣!! Kumbe ana hadi chata yake humuu na hamsemi nyieeee🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🤠🤠!!Salama madam, nipeni siri wakuu. Nataka nyota ya huyu mwamba kidogo tu nisafishe yangu🤣🤣
Kuna mambo yanafurahisha sana...
🥷🥷Mwambaa huyoo hapoo mwambie akupe siriii wa vipajiiii🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🤣!! Kumbe ana hadi chata yake humuu na hamsemi nyieeee🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🤠🤠!!
Nasemaaaajeeeeee nasemajee jf sihamiiiiii 🕺🕺🕺
Hahahahaa wee mwanangu sio wa chizi maarifa, baba yake yupo kwenye thread ya road trip na sports kule ndio mada zake sio mbea kila siku anaanzisha mada za mademu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ongea nae akupe mwongozo wa vipajii 😂🤣!Noma, hayo maneno ni mazito sana madam. Mimi naomba tu ya huyu mwamba. Nitapiga bakra kwa mweiz mmoja tu sio zaidi🤣🤣
Ulikua wapi jirani [emoji23][emoji23]
Ngoja baba miongozo anichambeee kwanzaa ndio nitulizee mshono wangu lol 🤣🤣🤣🤣🤠🤠!
Me nikajua ulikuwepo toka asubuhi sijui jana😃😃...mwenyewe ndo nimestukia saiz page ya 20🤣🤣🤣🤣🙌Wewe si hujaniita una roho mbaya, me wa kuninyima ubuyu km huu wa babu Mussa? Sijapentraaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nitakuja PM unitonyee ukwerii huo halafu omba kadi ya harusi najua hutaki upitwe kwa shem wetu hapo kwa Daz911 ukale pirau