Hakuna amani kwenye mauwaji na utekaji unaoendelea acheni tabia za kimalaya mnao dai nchi ina amani nawaonya

Hakuna amani kwenye mauwaji na utekaji unaoendelea acheni tabia za kimalaya mnao dai nchi ina amani nawaonya

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Hakuna amani kwenye mauwaji na utekaji unaoendelea acheni tabia za kimalaya mnao dai nchi ina amani nawaonya.

Aidha wauwaji na watekaji lazima wawajibishwe kwa matendo yao wameuwa watu wengi sana makusudi kisha wanatengeza vikundi vya watu wenye tabia za kimalaya kuja kutuambia nchi ina amani,

Tabia za kimalaya nikuutumia mwili wako ndivyo sivyo kwa tamaa za hela kuwafurahisha wapumbavu.
 
Acha kubwekabweka mtandaoni toka barabarani uandamane
 
Mtoto lainilaini wewe unaweza kupindua nini? Labda upindue mwiko wa mboga ukiwa unapika sotojo
Wewe unafikiri ukomando ni kuuwa watanzania wenzako kwa kununuliwa ?

Ukomado sio kununuliwa kama malaya anunuliwavyo na kuuwa watanzania wenzako wewe ndio laini laini tena mbumbumbu hujielewi
 
Back
Top Bottom