Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Usiseme kuandamana sema kupindua watekaji na wauwajiAcha kubwekabweka mtandaoni toka barabarani uandamane
Mtoto lainilaini wewe unaweza kupindua nini? Labda upindue mwiko wa mboga ukiwa unapika sotojoUsiseme kuandamana sema kupindua watekaji na wauwaji
Wewe unafikiri ukomando ni kuuwa watanzania wenzako kwa kununuliwa ?Mtoto lainilaini wewe unaweza kupindua nini? Labda upindue mwiko wa mboga ukiwa unapika sotojo