Time will teriIkulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.
Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?
Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Ni kweli hata Lembulu angewakilisha.Hakuna hata askofu mstaafu awakilishe!
It is well with my country, its a decree!Time will teri
LebuluNi kweli hata Lembulu angewakilisha.
Aliyeko ikulu sio mtu wao. Lazima wampe spana sana. Hata hivyo wakati akiwepo mtu wao huwa hawakauki ikulu sembuse kwenye shughuli za serikali. Wakati wa mwendazake hali ilikuwa mbaya zaidi.
Sio wote wako Roma. Wengi tu wamebaki nyumbani. Haiwezekani hata siku moja maaskofu wao wote wakawa sehemu moja kwa wakti mmoja hata kwenye sherehe zao wenyewe!Ikulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.
Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?
Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Walioenda Vatican ni maaskofu wote wa majimbo pamoja na mapadre wasimamizi wa majimbo yasiyo na maaskofu. Hata hivyo, Kuna maaskofu wengi wastaafu kama Mwadhama Polcarp Cardinal Pengo, Wahasham Maaskofu Wastaf Josephat Lebulu(ARUSHA), Damian Kyaruzi( Sumbawanga) na Nobert Mtega(Songea).Maaskofu wote walikuwa na ziara maalum Vatican na wamemaliza kikao maalum na Papa Francis. Hata katibu mkuu TEC yupo huko! Nafikiri jimbo kuu Dodoma watakuwa wametuma mwakilishi.
[emoji28][emoji28][emoji28] ila we jamaa una mambo!Kanisa Moja Takatifu la Mitume
Sidiefu mstaafu yuko huko pia