Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini iwaumize kichwa wakati kwa TZ diamond ndo msanii mwenye mafanikio kuliko wooote? tuongee vitu vyenye tija jamaniHuo ndio ukweli japo watu wengii wanashabikia upande mmoja ally ni mtu ninaye mfahamu vizuri sana huyuu jamaa hanaga makuu na mtu ataishuzake anafanya kimya kimya hii inawaumiza sana kichwa hawa jamaa wa upande wapili
una uhakika ndo mwenye mafanikio Bongo?kwanini iwaumize kichwa wakati kwa TZ diamond ndo msanii mwenye mafanikio kuliko wooote? tuongee vitu vyenye tija jamani
mafanikio siyake mi yananiusu nini? mafanikio yako isiwe kikwazo cha wengine wasifikie mafanikio ney alitaka kufanya colabo na kiba watu wakafanya figisu za hali ya juu hela ikatumika nyingi tu ili mradi tu colabo isifanyike ifanyike na msanii waokwanini iwaumize kichwa wakati kwa TZ diamond ndo msanii mwenye mafanikio kuliko wooote? tuongee vitu vyenye tija jamani
Kama hufatilii interview unasikiliza za mtaani umejuaje maswala ya kenya ulikuwepo kwenye show na kwenye iyo remix kuna sehem kamtaja uyo kiba usitake kupindisha mambo ili mwenzie aonekane mbayaMkuu sihitaji kuangalia Interview zake ili nijue hilo...Namjua Ali Namjua Diamond wakiwa nje ya Interview nazungumzia kwenye maisha yao ya kawaida kabisa huku mitaani.....Diamond kamuimba Ali kwenye free style zake juu ya beat ya All the way up umesikia Ali akijibu au kumaindi kuhusu iko kitu?!
Mkuu fungua upeo Ali ana nguvu kiasi gani kulipa watu pesa wamzomee Diamond?!Tatizo ni Sallam na sio Diamond elewa hapa mkuu
Kuanzia maisha hadi mafanikio ya mziki hakuna wakumgusa domo kibongo bongo kuanzia tunzo hadi endorsementmafanikio kwenye kitu gani!?
na wewe mwenzetu mafanikio unayatafsiri vipi?!
Mnapoteza muda tu, ukweli umeshajulikana, sasa kwenye hizo tuzo mnazoenda wote itakuaje, maana Sallam atakuwepo.swali zuri....Diamond hakutumika kuita mtu yoyote kwenye ile show...siku ile kulikuwa na wasanii zaidi ya 50 ambao walifanya show na Diamond alikuwa mualikwa tu na ukumbukue haikuwa show ya mtu mmoja ndio maana hakukuwa n msanii mmoja
Nimezungumzia mtaani kwa sababu nawajua vizuri wote wawili na nina uwezo wa kukutana nao mtaani na sio kusubiri kuwaona kwenye Interview.ElewaKama hufatilii interview unasikiliza za mtaani umejuaje maswala ya kenya ulikuwepo kwenye show na kwenye iyo remix kuna sehem kamtaja uyo kiba usitake kupindisha mambo ili mwenzie aonekane mbaya
Show ya juzi kuna blog kibao za kenya zimeandika kila kitu kuwa kiba alikataa kupanda kwa stage kabla ya wiz coz yy mkubwa kuliko wiz apo monbasa ndo maana wakadelay hata dejay mwenyewe kathibitisha hilo au na izo blog sallam kawalipa...
Zako zipo wapiHuna facts
Lini umesikia au kusoma Ali akimponda au kusema vibaya Diamond?!Anayofanyaga alikiba km kumsema mwenzie hua yanafunikwa. Ila wakisema wengine hua yanakuzwa ili mtu huyo aonekane mbaya. Kiba kachemka sana hapo mnajitahid kumsafisha 2.
Kwel ukipenda chongo utaona ni kengeza tu
Huna fact case closedNimezungumzia mtaani kwa sababu nawajua vizuri wote wawili na nina uwezo wa kukutana nao mtaani na sio kusubiri kuwaona kwenye Interview.Elewa
Wewe itakuwa hujui mambo mengi kuhusu mziki mkuu yaani mpaka mtu atajwe jina lake ndio ujue kazungumziwa?!
Wao wanapost tembo sisi tuna-post show...na hili nalo mpaka utafuniwe?!
Hizo blog tu zimeandika na usifikiri kuwa kila blog ya Kenya itakupa habari yenye asilimia 100 kisa imeandikwa na blogger wa Kenya...Ali na Team yake walikuwa na mawazo mazuri ya Kuokoa muda ndio maana wakataka Wiz apande kabla ya Ali ila wakaleta ubishi ubishi tu ili muda uende
Kuwa na mafanikio ni kitu kizuri lakin wanazidiana na kumbuka hawa wrote wanatafuta riziki zao na wanafamilia zinazowategemea sasa yanapotokea mifarakano Kama hiyo,mahaba weka pembeni mzaramo kaleta maoni yake au kwa kile kinachoendelea ingawa vingine mlikuwa hamjui sasa huo ndio uhalisio sio sallam anahojiwa anaonge vile vinavyomtoka kinywan lakini behind ze scene ni mengi tuukwanini iwaumize kichwa wakati kwa TZ diamond ndo msanii mwenye mafanikio kuliko wooote? tuongee vitu vyenye tija jamani
Kaangalie sporah show zen ukaangalie na kwa Millard ayo zen uje apaLini umesikia au kusoma Ali akimponda au kusema vibaya Diamond?!
Weka ushahidi
Acha wewe. Seven Mosha hawezi kupost ugoro kama huu...Na kama Alikiba anakubalika zaidi Mombasa kwanini lisitumike jina lake kuwavuta watu kwenda kwenye mkutano wa chama badala yake litumike la diamond? Kama Alikiba ni msanii mkubwa kuliko Wizkid kwanini alikubali kulipwa nusu ya pesa aliyolipwa Wizkid?
Nadhani aliyeweka thread ni Seven Mosha