wewe ndo umesema kwamba team ya diamond inaumiza sana kichwa kuhusu alikiba, sijui anafanya mambo kimya kimyakwahiyo wanaumiza kichwa, ndo nimekuuliza management ya diamond iumize kichwa kuhusu alikiba kwa kipi? kwasababu msanii wao anamafanikio kuliko msanii yoyote hapa bongo, na kuhusu ni mafanikio gani, diamond yuko vzr kifedha, mali na tuzo za kutosha,huyo alikiba alianza mzki toka diamond hata hajajua kama iko siku atatoka kimziki lakini hajafikia hata nusu ya alipo diamond leo, sana sana ilifika hatua akasinzia kina diamond wakatoka wamefanya juhudi wamefika sehemu nzuri akapatikana wa kumfufua huyo kiba wenu sasahivi mmebaki kusafiria nyota yake ili atleast huyo kiba aendelee kuwepo, wakati diamond kila mwaka si chini ya mara mbili anapost tour zake tena za kimataifa sijui huyo "king" wenu anakuwa anafanya nini, mgt yake badala ya kufanya kazi mmekalia ooh mara sijui diamond ananunua tuzo, leo hii eti alifanya figisu akashindwa kufanya kolabo na neyo, shame on u na mtabakia na majungu hivyo hivyo wakati mwenzenu anapiga hatua ya kimziki na kimaisha nyinyi mnabaki majungu