Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Wanasimba wenzangu, nakubali kwamba huenda Inonga akawa na mzaha mwingi na over confidence, lakini suala la KUHONGWA haliwezi kuwa Na uhalisia wowote.
1. Yanga wana kikosi kizuri sana, na kwa hakika wamefanya investment ya maana ... Wana key players machachari sana ambao kocha akishajua namna bora zaidi ya kuwaposition balaa litakuwa ni kubwa na huenda tutafungwa na Yanga msimu mzima.
2. Nauliza, Simba imesajili Kiungo au Mshambuliaji gani wa maaana ambae anaweza kuleta matokeo kwenye impossible angles...... SSC haijawahi kuwa Serious kwenye usajili, wanadokoa dokoa kama kuku wa kienyeji halafu wanawekeza kwenye ma tangazo, matokeo yake mashabiki wanakuwa na expectation kubwa, ambapo uhalisia on the ground unakuwa ni oppposite.
Nabil alisema namtaka Aziz Ki, akaletewa, akasema Nataka Mayele abaki, akabakishwa, akasema nataka Djuma abaki, akabakishwa, Akasema yule Morrison namtaka , akaletewa.....sasa kwa quality Kama hii ya wachezaji, SSC unawezaji kupambana na Yanga ? Kama Yanga Jana ingekuwa makini kidogo, SSC angekula hata Goli 4. Yaani unamuweka Shabalala na Azizi, mtoto mbichi mwenye maono kwa kazi nzuri ya GSM .
3. SSC aliingia na Yanga kwenye battle ya Usajili dhidi ya Djuma wakafeli, wakaingia kwenye battle ya Azizi , wakafeli..... na wakafeli sababu wahindi wanapenda cheap, CHEAP is always expensive! Ni suala la muda
4. Yanga wapo serious na na wameanza kuelewa walikuwa wanakwama wapi , Na kwa hakika Yanga inaenda kuwa TISHIO, huku SSC ikijiaminisha wao ni wakubwa huku Yanga ataendelea kuprove kuwa that is wrong, SSC mpaka sasa hakuna mchezaji ambae ni tishio . Huyo Sakho Mwenyewe ni Overrated na hana team work !
5. Ukiangalia Yanga jana matukio yote yanaonesha these guys wana wachezaji walio na QUALITY , SSC endeleeni kuamini Chama Chama , mnafeli sana ....... ,
endeleeni kumsikiliza Mo Na Barba juu ya kuletewa wachezaji wa majaribio kama Mzungu. Mkija kuamka, mtajikuta mpo kwenye nafasi ya 4 kwenye ligi.
Mavikao ya CAF huko Arusha, Sio ishara ya ubora wa timu . Ni very soon Yanga anaingia kwenye nafasi yake ya Africa !