Hakuna cha hujuma, Yanga wapo serious na wanamaanisha kazi kazi

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Wanasimba wenzangu, nakubali kwamba huenda Inonga akawa na mzaha mwingi na over confidence, lakini suala la KUHONGWA haliwezi kuwa Na uhalisia wowote.

1. Yanga wana kikosi kizuri sana, na kwa hakika wamefanya investment ya maana ... Wana key players machachari sana ambao kocha akishajua namna bora zaidi ya kuwaposition balaa litakuwa ni kubwa na huenda tutafungwa na Yanga msimu mzima.

2. Nauliza, Simba imesajili Kiungo au Mshambuliaji gani wa maaana ambae anaweza kuleta matokeo kwenye impossible angles...... SSC haijawahi kuwa Serious kwenye usajili, wanadokoa dokoa kama kuku wa kienyeji halafu wanawekeza kwenye ma tangazo, matokeo yake mashabiki wanakuwa na expectation kubwa, ambapo uhalisia on the ground unakuwa ni oppposite.

Nabil alisema namtaka Aziz Ki, akaletewa, akasema Nataka Mayele abaki, akabakishwa, akasema nataka Djuma abaki, akabakishwa, Akasema yule Morrison namtaka , akaletewa.....sasa kwa quality Kama hii ya wachezaji, SSC unawezaji kupambana na Yanga ? Kama Yanga Jana ingekuwa makini kidogo, SSC angekula hata Goli 4. Yaani unamuweka Shabalala na Azizi, mtoto mbichi mwenye maono kwa kazi nzuri ya GSM .

3. SSC aliingia na Yanga kwenye battle ya Usajili dhidi ya Djuma wakafeli, wakaingia kwenye battle ya Azizi , wakafeli..... na wakafeli sababu wahindi wanapenda cheap, CHEAP is always expensive! Ni suala la muda

4. Yanga wapo serious na na wameanza kuelewa walikuwa wanakwama wapi , Na kwa hakika Yanga inaenda kuwa TISHIO, huku SSC ikijiaminisha wao ni wakubwa huku Yanga ataendelea kuprove kuwa that is wrong, SSC mpaka sasa hakuna mchezaji ambae ni tishio . Huyo Sakho Mwenyewe ni Overrated na hana team work !

5. Ukiangalia Yanga jana matukio yote yanaonesha these guys wana wachezaji walio na QUALITY , SSC endeleeni kuamini Chama Chama , mnafeli sana ....... ,

endeleeni kumsikiliza Mo Na Barba juu ya kuletewa wachezaji wa majaribio kama Mzungu. Mkija kuamka, mtajikuta mpo kwenye nafasi ya 4 kwenye ligi.

Mavikao ya CAF huko Arusha, Sio ishara ya ubora wa timu . Ni very soon Yanga anaingia kwenye nafasi yake ya Africa !
 
Point
 
Yanga anasajili as vita,asec n.k while nyie mnashindwa kusajili hata mchezaji kutoka viper hapo eti mnasubiria awe free agent!Yanga baada ya kugundua ni mtoto wa kambo wa tff walichoamua ni kucheza mpira basi
 
Leo nikuunge mkono Kwa Sakho tu, mengine endelea.
 
Kazi kweli ndo maana lucy aymel alituita nyani mashabiki wa Tanzania leo hapa kila mtu anakubali yanga team bora kisa kamfunga simba siku yanga akija kufungwa ndo utajua kwa nini wazungu wanatuona hatuna akili maana tunasahau haraka sana.
 
Shida mbumbumbu wanachojuaga wao ni kusema sisi level za caf, sisi ni unstoppable wakati hawafanyi chochote kupigania hizo level. Wanaendeshwa na expectations akilini mwao wanageuza ndio uhalisia

Ni suala la muda tu.

Hawataki kujipa muda kutafuta solutions za kweli kazi kung'ang'ania tu Inonga kahongwa, oooh Chama katolewa. Sawa endeleeni kuiona Simba hivyo hivyo mnavyoiona

Saa hizi mnasema Inonga kahongwa, vipi yule aliyepigwa dobo? Mwisho mtasema kocha nae alihongwa na GSM kumtoa Chama na mkimaliza hapo mtasema MO na Barbra wamehongwa nao kutomleta Mganda wa Vipers
 
Mtoa mada watu unaowasema wa kwanza huyu hapa.
 
Kazi kweli ndo maana lucy aymel alituita nyani mashabiki wa Tanzania leo hapa kila mtu anakubali yanga team bora kisa kamfunga simba siku yanga akija kufungwa ndo utajua kwa nini wazungu wanatuona hatuna akili maana tunasahau haraka sana.
Sio kisa kumfunga Simba.. ww kolo huna kikosi Cha kujilinganisha na Yanga tena hata Kabla ya usajiri wa hawa Maprooh wapya wa5. Kwani Yanga kamfunga Simba safari hii tu.. ? Umepigwa mwakajana mechi kama hii, umepigwa FA, umepigwa juzi.. kwenye ligi una zaidi ya miaka mitatu hujamfunga Yanga. Sasa unakaaje ukajifananisha na Yanga, Yanga kawazidi sana sana sana.. Ninachokiona kwa Sasa mechi za Mtani Yanga hazimpi presha ndo maana hata mkitangulia kufunga anawagonga comeback.
Huyu Nabi si Kocha wa mchezomchezo.
 
Yanga anasajili as vita,asec n.k while nyie mnashindwa kusajili hata mchezaji kutoka viper hapo eti mnasubiria awe free agent!Yanga baada ya kugundua ni mtoto wa kambo wa tff walichoamua ni kucheza mpira basi

SSC wao wanasubiri wachezaji wa Bei chee, hapo hapo wanataka matokeo. Bado wana old ways of thinking ...... kuchukua wachezaji chipukizi kama Mikisoni kisha wakulie Simba na waje kuwauza. Hiyo ni old ways of thinking ....... Yanga wao walishajua makosa yao, now wanachukua wachezaji ambao ni ready made with experience , ndio hao kina Morison , Aziz , Djuma na wengineo

Mo anawatia ujinga snaa wanasimba
 
Kazi kweli ndo maana lucy aymel alituita nyani mashabiki wa Tanzania leo hapa kila mtu anakubali yanga team bora kisa kamfunga simba siku yanga akija kufungwa ndo utajua kwa nini wazungu wanatuona hatuna akili maana tunasahau haraka sana.

Mengine yamesemaje
 
Acha Mawazo mgando , uangalie ukweli
 
Shida mbumbumbu wanachojuaga wao ni kusema sisi level za caf, sisi ni unstoppable wakati hawafanyi chochote kupigania hizo level. Wanaendeshwa na expectations akilini mwao wanageuza ndio uhalisia

Ni suala la muda tu.

Hawataki kujipa muda kutafuta solutions za kweli kazi kung'ang'ania tu Inonga kahongwa, oooh Chama katolewa. Sawa endeleeni kuiona Simba hivyo hivyo mnavyoiona

Saa hizi mnasema Inonga kahongwa, vipi yule aliyepigwa dobo? Mwisho mtasema kocha nae alihongwa na GSM kumtoa Chama na mkimaliza hapo mtasema MO na Barbra wamehongwa nao kutomleta Mganda wa Vipers

Wanadhani mpira ni matangazo. Mpira ni kazi kaz, Ahly hafanyi matangazo yoyote and they are the best Club in africa
 
Back
Top Bottom